TANZIA Mwanahabari, Prudence Karugendo afariki Dunia

TANZIA Mwanahabari, Prudence Karugendo afariki Dunia

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Oh! Prudence Karugendo amefariki Dunia.

Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha mwanafamilia mwenzangu kwenye tasnia ya habari. Nilimfahamu Prudence hususani kwenye kazi yetu ya uandishi wa makala.

Nachukua fursa hii kumpa pole nyingi ndugu yangu kwenye uandishi, Padre Privatus Karugendo, kaka wa marehemu.
Apumzike Kwa Amani.

Maggid Mjengwa.

Karugendo.PNG

Taarifa zaidi inafuata
 
Akisema ndo inaondoka au?
Acha hizo basi. Kauli ya mkuu ni muhimu ili kurejesha nidhamu ya tahadhari kwa watu.Watu wamejiachia kwa sababu wameamini kauli ya serikali kwamba ugonjwa haupo. Fikiria watu wangeambiwa ugonjwa upo chukueni tahadhari unadhani maisha ya watu wangapi yangeokolewa?Tuwe tunafikiri kwa kutumia vichwa
 
Duu! Pole nyingi kwa ndugu na jamaa wote wa marehemu, Mungu aipumzishe roho yake pahala pema peponi . Amen!
 
Rest well Prudence
Pole sana kwa familia na wote walioguswa na
 
Oh! Prudence Karugendo Amefariki Dunia...
Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha mwanafamilia mwenzangu kwenye tasnia ya habari. Nilimfahamu Prudence hususani kwenye kazi yetu ya uandishi wa makala.

Nachukua fursa hii kumpa pole nyingi ndugu yangu kwenye uandishi, Padre Privatus Karugendo, kaka wa marehemu.
Apumzike Kwa Amani.

Maggid Mjengwa.

View attachment 1685584

Taarifa zaidi inafuata
Hiyo picha ni ya nani: Karugendo⁉️
 
Back
Top Bottom