TANZIA Mwanahabari, Prudence Karugendo afariki Dunia

Siku hizi hata mtu akifariki kwa nasibu kwenye ajali barabarani, basi ni korona!??? JPM kazi anayo kwelikweli. Nashauri Sisiemu iendelee kutawala tuuu hadi Tanzania [emoji1241] iwe zaidi ya Ulaya.
 
Serikali imewaambia watu wake Corona haipo, kwa kauli hiyo ni sawa na kuwaambia watu wawe loose na wasiwe na sababu yeyote ya kuchukua tahadhari. Hili mbona simple tu jamaa wala halihitaji cheti cha std 7.Hivi kukiri udhaifu kuna shida gani
 
Kindok20, kumbuka huwezi kuishinda Covid-19 kwa kuchukuwa hatua za kujikinga na maambukizi peke yako. Ugonjwa huu ni wa ajabu. Very trouble some. Magonjwa mengi mfano Kipindupindu, malaria, homa ya matumbo, na kadhalika, unaweza kujikinga; siyo Covid-19!
Lazima kuwe na the so called collective responsibility huku mkiongozwa na Serikali.
Kwa taarifa yako Covid-19 ipo Tanzania in a new form after mutation of the Corona virus. Aina hii ya kiirusi ni aggressive zaidi kuliko ile ya mwanzo. Inaua haraka sana. Watu wapo mahospitalini wanaumwa na wengine wanafariki dunia kwa huo.
Tuache masihara. Viongozi wetu wa Serikali waache masihara. Covid-19 kama mauti, haiogopi cheo, wadhifa, wala hali ya uchumi wa mtu. Ninyi mnaowatisha watu kuwa watachukuliwa hatua wakitoa taarifa za ugonjwa, tunaweza shuhudia mnakumbwa nao; mbona tunashuhudia hadi mawaziri na watu wengine wenye vyeo wanaukiwa na Covid-19?
Tuchukuwe hatua, Mwenyezi Mungu yu pamoja nasi Tanzania.
 
Siku hizi hata mtu akifariki kwa nasibu kwenye ajali barabarani, basi ni korona!??? JPM kazi anayo kwelikweli. Nashauri Sisiemu iendelee kutawala tuuu hadi Tanzania [emoji1241] iwe zaidi ya Ulaya.
Siyo hivyo wewe, au kwa kuwa wewe hujapotelewa na ndugu unajiona uko safe saana!
 
Nyie watu bwanaa

Wazungu wakija trna wakasema Covid imeundergo mutation tena mtakimbizana.

Ujinga
 
Hiyo picha ni ya nani: Karugendo⁉️
Another scholar is gone..!! Rest in peace padri
Siyo padri😤😤😤😤😤😤
 
Hii corona itakuwa imerudi tena sasa HV kila anayekufa utasikia matatizo ya kifua
 
Siku hizi hata mtu akifariki kwa nasibu kwenye ajali barabarani, basi ni korona!??? JPM kazi anayo kwelikweli. Nashauri Sisiemu iendelee kutawala tuuu hadi Tanzania [emoji1241] iwe zaidi ya Ulaya.
siku ukiondokewa na ndugu kebehi zako zitakwisha
 
Siku hizi hata mtu akifariki kwa nasibu kwenye ajali barabarani, basi ni korona!??? JPM kazi anayo kwelikweli. Nashauri Sisiemu iendelee kutawala tuuu hadi Tanzania [emoji1241] iwe zaidi ya Ulaya.
Au sio aendelee huku akitokea Chato?
 
Siku hizi hata mtu akifariki kwa nasibu kwenye ajali barabarani, basi ni korona!??? JPM kazi anayo kwelikweli. Nashauri Sisiemu iendelee kutawala tuuu hadi Tanzania [emoji1241] iwe zaidi ya Ulaya.
Bao la kujichua lingeokoa hii takataka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…