Kindok20, kumbuka huwezi kuishinda Covid-19 kwa kuchukuwa hatua za kujikinga na maambukizi peke yako. Ugonjwa huu ni wa ajabu. Very trouble some. Magonjwa mengi mfano Kipindupindu, malaria, homa ya matumbo, na kadhalika, unaweza kujikinga; siyo Covid-19!
Lazima kuwe na the so called collective responsibility huku mkiongozwa na Serikali.
Kwa taarifa yako Covid-19 ipo Tanzania in a new form after mutation of the Corona virus. Aina hii ya kiirusi ni aggressive zaidi kuliko ile ya mwanzo. Inaua haraka sana. Watu wapo mahospitalini wanaumwa na wengine wanafariki dunia kwa huo.
Tuache masihara. Viongozi wetu wa Serikali waache masihara. Covid-19 kama mauti, haiogopi cheo, wadhifa, wala hali ya uchumi wa mtu. Ninyi mnaowatisha watu kuwa watachukuliwa hatua wakitoa taarifa za ugonjwa, tunaweza shuhudia mnakumbwa nao; mbona tunashuhudia hadi mawaziri na watu wengine wenye vyeo wanaukiwa na Covid-19?
Tuchukuwe hatua, Mwenyezi Mungu yu pamoja nasi Tanzania.