TANZIA Mwanahabari, Prudence Karugendo afariki Dunia

Mungu baba wa Rehema, tuondolee balaa hili
 
Kwa maana 99% ya watanzania ni Majuha, wanasikiliza Rais, Padre, Sheikh kasema nini nao wanafuata! To "me" and "you" haina shida, I know my way out of all this. Huyu mtu wa Brazil Mungu atamuangamiza kama wanavyoangamia wasio na hatia kwa kumsikiliza
 
Mungu awafariji Ndugu, jamaa na marafiki wote
 
Hivi kuhusisha kila kifo na Covid19 bila taarifa au udhibitisho wowote, unahisi ni matumizi sahihi ya akili zako?
 
Huko wanakotoa hayo matamko, kiwango cha maambukizi kikoje?, impact ya kiuchumi baada ya hayo matamko, ikoje? Mfano US
 
Chonde chonde
F Mbowe
L Mbowe
Jitahidini mlipe pesa za huyu mzee

Kafanya kazi kwenu kwa miaka mingi lakini malipo yake hajawai kulipwa

Pumzika kwa Amani Mchambua hoja!
 
Serikali imewaambia watu wake Corona haipo, kwa kauli hiyo ni sawa na kuwaambia watu wawe loose na wasiwe na sababu yeyote ya kuchukua tahadhari. Hili mbona simple tu jamaa wala halihitaji cheti cha std 7.Hivi kukiri udhaifu kuna shida gani
Huko ambako serikali inawaweka watu lockdown na kuhimiza wachukue tahadhari, mfano US, hali ya maambukizi na vifo vya Corona ikoje? Hali ya kiuchumi ilifuata baada ya hayo matamko ya kufungia watu ikoje?
 
Wewe chukua tahadhali kwani umekatazwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…