King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Poleni ndugu ,jamaa na marafiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu baba wa Rehema, tuondolee balaa hiliPole sana kwa familia yake na marafiki. Tunachoweza kusema sisi tuliobaki ni kumwombea heri na pumziko la amani.
Lakini tuendelee kutambua kuwa
Covid 19 ipo na inaua. Usisikilize wanaojificha kijijini na kusema COVID 19 haipo. Ukifa msiba ni wa wanao na ndugu zako tu. Wao wanaokudanganya hawatakuwepo.
Barakoa siyo utambulisho wa mrengo wa kisiasa bali ni kinga iliyothibitishwa ya kuzuia maambukizi ya COVID 19 kwa hadi 95%.
Epuka safari na misongamano isiyo ya lazima. Nawa kwa maji tiririka mara kwa mara na hakikisha kila mara unajipaka sanitizer.
"Mungu Baba wa Mbinguni akujalie upate tulizo na pumziko la milele. Naye akufanye mmoja kati ya wateule wa Sayuni watakaoketi mahali pa juu wakikusifu na kukuabudu katika siku ile ambako kila chozi letu litafutwa na kujazwa furaha na utukufu usio na mwisho. Amen"
Kwa heri Prudence Karugendo
How was your night? Nilikuombea ndoto njema jana 😀 😀 😀 😀Rest well Prudence
Pole sana kwa familia na wote walioguswa na
Mh hii I'd VeepOk,nilitaka kusema Padre ndo kaenda,,,rest in peace.
Kwa maana 99% ya watanzania ni Majuha, wanasikiliza Rais, Padre, Sheikh kasema nini nao wanafuata! To "me" and "you" haina shida, I know my way out of all this. Huyu mtu wa Brazil Mungu atamuangamiza kama wanavyoangamia wasio na hatia kwa kumsikilizaAcha hizo basi. Kauli ya mkuu ni muhimu ili kurejesha nidhamu ya tahadhari kwa watu.Watu wamejiachia kwa sababu wameamini kauli ya serikali kwamba ugonjwa haupo. Fikiria watu wangeambiwa ugonjwa upo chukueni tahadhari unadhani maisha ya watu wangapi yangeokolewa?Tuwe tunafikiri kwa kutumia vichwa
Nililala usingizi mnono sana. Asante kwa maombi Retired😇😇😇How was your night? Nilikuombea ndoto njema jana 😀 😀 😀 😀
Hata yeye alikuwa padri baadaye akaachaHuyu siyo Padri
Hivi kuhusisha kila kifo na Covid19 bila taarifa au udhibitisho wowote, unahisi ni matumizi sahihi ya akili zako?Pole sana kwa familia yake na marafiki. Tunachoweza kusema sisi tuliobaki ni kumwombea heri na pumziko la amani.
Lakini tuendelee kutambua kuwa
Covid 19 ipo na inaua. Usisikilize wanaojificha kijijini na kusema COVID 19 haipo. Ukifa msiba ni wa wanao na ndugu zako tu. Wao wanaokudanganya hawatakuwepo.
Barakoa siyo utambulisho wa mrengo wa kisiasa bali ni kinga iliyothibitishwa ya kuzuia maambukizi ya COVID 19 kwa hadi 95%.
Epuka safari na misongamano isiyo ya lazima. Nawa kwa maji tiririka mara kwa mara na hakikisha kila mara unajipaka sanitizer.
"Mungu Baba wa Mbinguni akujalie upate tulizo na pumziko la milele. Naye akufanye mmoja kati ya wateule wa Sayuni watakaoketi mahali pa juu wakikusifu na kukuabudu katika siku ile ambako kila chozi letu litafutwa na kujazwa furaha na utukufu usio na mwisho. Amen"
Kwa heri Prudence Karugendo
Ulitaka afanyaje?Yeye kajitenga chato katuachia msala.
Huko wanakotoa hayo matamko, kiwango cha maambukizi kikoje?, impact ya kiuchumi baada ya hayo matamko, ikoje? Mfano USAcha hizo basi. Kauli ya mkuu ni muhimu ili kurejesha nidhamu ya tahadhari kwa watu.Watu wamejiachia kwa sababu wameamini kauli ya serikali kwamba ugonjwa haupo. Fikiria watu wangeambiwa ugonjwa upo chukueni tahadhari unadhani maisha ya watu wangapi yangeokolewa?Tuwe tunafikiri kwa kutumia vichwa
Tumsifu Yesu Kristo, milele Amen.Nililala usingizi mnono sana. Asante kwa maombi Retired😇😇😇
Huko ambako serikali inawaweka watu lockdown na kuhimiza wachukue tahadhari, mfano US, hali ya maambukizi na vifo vya Corona ikoje? Hali ya kiuchumi ilifuata baada ya hayo matamko ya kufungia watu ikoje?Serikali imewaambia watu wake Corona haipo, kwa kauli hiyo ni sawa na kuwaambia watu wawe loose na wasiwe na sababu yeyote ya kuchukua tahadhari. Hili mbona simple tu jamaa wala halihitaji cheti cha std 7.Hivi kukiri udhaifu kuna shida gani
Wapumbavu sana nyie! Ulitaka akufanyaje?Yeye kajitenga Chato katuachia msala.
Wewe chukua tahadhali kwani umekatazwa?Acha hizo basi. Kauli ya mkuu ni muhimu ili kurejesha nidhamu ya tahadhari kwa watu.Watu wamejiachia kwa sababu wameamini kauli ya serikali kwamba ugonjwa haupo. Fikiria watu wangeambiwa ugonjwa upo chukueni tahadhari unadhani maisha ya watu wangapi yangeokolewa?Tuwe tunafikiri kwa kutumia vichwa