Wana JAMIIFORUM,naombeni ushauri wenu wa tija juu ya hili. Nataraji kuwa MWANAHABARI WA MAZINGIRA na kuanzisha gazeti(MAGAZINE) ambalo litalenga zaidi katika suala zima la kuhifadhi Mazingira pamoja na jamii na tamaduni inayozunguka maeneo husika. Ni dhamira yangu kufanya shughuli hii kama Mjasiriamali na ni ndoto pevu ambayo nimekuwa nayo kwa muda mrefu. Sasa naombeni ushauri wenu naanzia wapi na naelekea wpi katika kufanikisha zoezi hili. MIMI NI MWANACHUO STASHAHADA YA KWANZA YA MAZINGIRA. Karibuni.
Last edited by a moderator: