Mwanahabari wa Mazingira wa kujitegemea. Naombeni Ushauri wenu.!

Mwanahabari wa Mazingira wa kujitegemea. Naombeni Ushauri wenu.!

cholloh1

Member
Joined
Aug 26, 2013
Posts
52
Reaction score
5
Wana JAMIIFORUM,naombeni ushauri wenu wa tija juu ya hili. Nataraji kuwa MWANAHABARI WA MAZINGIRA na kuanzisha gazeti(MAGAZINE) ambalo litalenga zaidi katika suala zima la kuhifadhi Mazingira pamoja na jamii na tamaduni inayozunguka maeneo husika. Ni dhamira yangu kufanya shughuli hii kama Mjasiriamali na ni ndoto pevu ambayo nimekuwa nayo kwa muda mrefu. Sasa naombeni ushauri wenu naanzia wapi na naelekea wpi katika kufanikisha zoezi hili. MIMI NI MWANACHUO STASHAHADA YA KWANZA YA MAZINGIRA. Karibuni.
 
Last edited by a moderator:
Kabla hujaanzisha jarida lako pengine labda ingekuwa ni vyema ungeanza kuandikia majarida au magazeti yaliyopo. Ugumu wa wazo lako ni kwamba gazeti au jarida la mazingira halitauza kiasi cha kujiendesha lenyewe na kukupa faida. Hivyo lazima uwe na sponsors wakutosha. Nitarudi
 
Kweli katika source ya mapato itakuwa ngumu, ila maudhuí na lengo hasa ni kuwa MAGAZINE hii italenga sehemu kuu tatu. Mfano: 1)Environmental conservation 2)Birdlife
3)Cultural ethics -with environmental interractions. Kwahyo halita base katika mazingira tu,bali kutakuwa na mgawanyiko kama huu hpo juu.
 
Back
Top Bottom