Mwanahalisi fanya yafuatayo

Mwanahalisi fanya yafuatayo

mimi siungi mkono la kubembeleza,nia ya akina kubenea sio kujipendekeza kwa watawala kwa kuandika kile wanachokipenda,mm,naamini ni kuwahabarisha wanzania kwa makala za uchunguzi na kufijua maovu yaliojificha,Nataka waende mahakamani,polical pressure iwepo,western donors waambiwe juu ya upondaji wa uhuru wa habari,wanahabari watu wa haki za binadamu wajitokeze wote wapaze sauti
 
Back
Top Bottom