Sumbalawinyo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,282
- 248
Ningekuwa mimi ningetoka mkuku, ile ya msoga mie inanitosha:happy:
kikwete nakupongeza hao wahindi washenzi sana tzd ni shamba la bibi kwao
Kama hii nyumba ilikuwa ya serikali kama nyumba nyingine ambazo watumishi wa serikali walikuwa wanakaa, na baadae hao watumishi wa serikali wakaamua kujiuzia wakati Magufuri akiwa waziri wa ujenzi, iweje nyumba ambayo kikwete alinunua na ilikuwa ya serikali leo hii iwe ya wahindi walio marehemu??????????/
Mna chuki binafsi na JK, hilo ni zengwe tu la kisiasa juu ya vita dhidi ya ufisadi! Goo Jk Go!, kama hawa kweli ni eneo lao walete uthibitisho wa kodi walizokuwa wanapokea toka serikalini kwa matumizi ya hiyo Nyumba yao kabla ya kubomolewa na kujengwa upya!Jamani JM (Jakaya Mrisho) Mapori yamejaa huko Rufiji na pesa anayo si akashushe mijumba huko apeleke umeme,barabara, maji nk. tena kuna upepo asilia. Yanini kupora hiyo mijumba na kuambulia aibu?
Kwa kweli inashangaza unapoona mtu anamlaumu Rais na kumwita mvamizi wakati yeye ni bonafide purchaser without any knowledge of defect of title. Kama tunakubali kwamba rais alinunua nyumba hiyo toka serikalini then tunakiri kwamba kabla nyumba hiyo haijawa ya rais ilikuwa ya serikali na ndiyo iliyopaswa kuulizwa na siyo rais ambaye ni mnunuzi asiye na lawama. Kwa upotoshaji mkubwa taarifa hii imemchafua sana Rais na kuwafanya watu waje na tafsiri hii potofu na yenye nia mbaya.
Cheo cha urais ni kitakatifu ..hakipaswi kuhusishwa na uporaji wa mali za watu ..regardless what..kama alijiuzia hiyo nyumba toka serikalini alikuwa na jukumu la kuhakikisha kuwa ni nyumba halali..na ni rahisi angeagiza search wizara ya ardhi angepewa status...watu wote makini hufanya hivyo kabla ya kununua property..\
Udhaifu wake mwingine na labda hata uvunjaji wa sheria ni kuwa UJENZI WOWOTE UNATAKIWA UPATE VIBALI MANISPAA....kama kweli alifuata taratibu za ujenzi..basi wakati wa kuomba kibali cha kubomoa na kujenga nyumba mpya ,manispaa walitakiwa kumshauri hiyo kasoro kama walifanya kazi kwa umakini....au kama waidhinishaji walipitisha haraka haraka ramani yake bila hata kutaka kuona title deed ...huo ni udhaifu mwingine wa pande zote...
Ni ubaguzi wa hali ya juu kutaka kuwa wale YATIMA wadhulumiwe tu kwa ajili wao ni wahindi ..au kufikiri wanatumiwa..kumbukeni hao ni watoto ..wamekuwa wanadai mali zao...jiulize kama wewe ungependa ukifa wanao wadhulumiwe...na yeyote..sio kila jambo ni siasa..
NYUMBA ZA MSAJILI wanaonunua wawe makini ..kwani matatizo kama haya ni dhahiri...hati za nyumba hizo hazikubadilishwa wakati wa utaifishaji...na katika miaka ya karibuni tangu miaka ya mwisho ya utawala wa mwalimu ...na miaka ya utawala wa mwinyi kuna watu wengi tu ambao walitaifishiwa nyumba zao walianza kurudishiwa ...wapo wengi tu...na wengine wamepewa kipaumbeele kuingia ubia na national housing kuendeleza magorofa...hii inatokana na wengi wao kwenda kulalamika kwenye jumuia za kimataifa na kadhia ile ikawa inasababishia serikali maswali.......mmoja ya watu ambao nyumba zake zimerudishwa ni Kambona......
Walionunua nyumba za serikali walio salama 100% ni wale ambao nyumba zao zilijengwa na serikali au wakoloni....lakini wale waliojinunulia za msajili [zilizotaifishwa ] hawawezi kuwa salama ...NDIO MAANA SERIKALI ILIWAPA KIPENGELE WALOUZIWA NYUMBA KUWA WASIBOMOE AU KUENDELEZA KWA MIAKA 30....nadhani hichi kipengele kililenga kuwalinda wao au serikali dhidi ya mashtaka ya aina hii......
MWISHO NI KUWA RAIS AMEVUNJA KIPENGELE CHA MKATABA WA KUNUNUA NYUMBA YA "SERIKALI" KWA KITENDO CHA KUIBOMOA NA KUJENGA MPYA...!!!

this country has gone to the dogs
sasa mtu anyeshewe mvua au aangukiwe hiyo nyumba?
Aah, kumbe kanyang'anywa mhindi
Mhindi amepataje ardhi ya Mwafrika?