MwanaHALISI kulikoni?

Hivi saeed kubenea na ujanja wote kashindwa kuliweka gazeti kwenye mtandao? Angepata support kutoka kwa watanzania wengi walio nje ya nchi.Hata baada ya mkuu invisible kuwa tayari kumsaidia bila gharama yoyote ni zaidi ya mwezi haja respond bado?

If so, then it gonna be the amazing reality!
 
Si invisible alisema kuongea naye kwa simu? Ngoja atatuletea taarifa wapi wamefikia. Usianze kulalamika tuuuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…