Elections 2010 Mwanahalisi leo lamfukua Salma kuhusu ndege

Elections 2010 Mwanahalisi leo lamfukua Salma kuhusu ndege



Itarudisha gharama za wewe kupoteza muda wa kufikiria???? nadhani uitoe mapema maana huko november mmmmh ni mbali sana, watanzania si wepesi wa kusahauuu jamani

Mkuu Siko NewYork, Niko Bongo Unadhani sijui kilichotikea kwa Babu Seya:confused2:.
 
Ama kweli ukistaajabu ya musa utaona ya firauni unaweza kuhisi kama vile ni kamchezo fulani ka kuigiza kumbe watu ndio wanazidi kuotesha mizizi ya ufisadi
 
Back
Top Bottom