Itarudisha gharama za wewe kupoteza muda wa kufikiria???? nadhani uitoe mapema maana huko november mmmmh ni mbali sana, watanzania si wepesi wa kusahauuu jamani
Ama kweli ukistaajabu ya musa utaona ya firauni unaweza kuhisi kama vile ni kamchezo fulani ka kuigiza kumbe watu ndio wanazidi kuotesha mizizi ya ufisadi