Mwanahamisi ‘Mishy’ Singano: Kilio changu kwako Rais Magufuli

Kuwa na utu japo kidogo. Hakuna faraja katika kuzika ndugu usiku na bila staha wala heshima.
Mwanahamisi ni.mwanamke Wa kiislamu na wanawake Wa kiislamu hawaruhusiwi hata Siku moja kwenda makaburini kuzika kayajulia wapi ya makaburini mwanamke mumbeya huyo kutwa mwanahamisi Huyo yuko vikao vya majungu adi mtaani anaitwa mwenyekiti Wa kamati ya majungu mtaani kwa anavyojua majungu na kuuchonga mdomo

Mwanamke Wa kiislamu na mambo ya mazishi makaburini wapi na wapi angeandika mwanaume Wa kiislamu walau tungeelewa sababu wanaume huenda makaburini kuzika

Hawa akina mwanahamisi wengi Wa Tanga umbeya na majungu umewajaa
 
(i) "...uhodari wa nahodha hupimwa kwenye dhoruba..."

(ii) "...tunajua jinsi ys kufufua uchumi lakini hatujui jinsi ya kufufua wafu..."

(iii) "...utu ni bora kuliko kitu..."

(iv) "...Najua kupoteza Watanzania, 10, 100, 1000, 10,000 au hata 100,000 kati ya Watanzania takribani milioni 60 inaweza isiwe shida kitakwimu. Ila familia hizo zinazoondokewa na wapendwa wao, hawatakuja kupata baba mwingine, mama mwingine au mpendwa yoyote mwingine wa kuziba pengo hilo"

Hizi si hoja za kupuuza hata kidogo
 
Nje ya mada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amechanganya ni uhodari Wa mabaharia sio nahodha kukitokea la kutokea mabaharia ndio wenye kazii.kubwa ya kuokoa abiria na mizigo
Anaye kuwa responsible na chombo ni nahodha. Whatever happens yeye ndio yuko in command. So wkt wa dhoruba maamuzi yake yanaweza ifanya meli ikazama au ikavuka salama.
Mabaharia ni watendaji tu wa chini.. ila wana follow orders za nahodha maana yeye ndio mwenye maamuzi ya mwisho.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakaliaga?
 
Amechanganya ni uhodari Wa mabaharia sio nahodha kukitokea la kutokea mabaharia ndio wenye kazii.kubwa ya kuokoa abiria na mizigo

..lakini nahodha mwiko kujitosa chombo kikipata dhoruba.

..nahodha tuliyenaye hana tofauti na Iddi Amin aliyekimbia Kampala akaenda kujificha Koboko.

..au Saddam aliyekimbia Baghdad akaja kupatikana Tikrit kwenye shimo la panya.
 
Safi Sana Bi Singano.
 
  1. Tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara
  2. Kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…