Mwanahamisi ‘Mishy’ Singano: Kilio changu kwako Rais Magufuli

Mwanahamisi ni.mwanamke Wa kiislamu na wanawake Wa kiislamu hawaruhusiwi hata Siku moja kwenda makaburini kuzika kayajulia wapi ya makaburini mwanamke mumbeya huyo kutwa mwanahamisi Huyo yuko vikao vya majungu adi mtaani anaitwa mwenyekiti Wa kamati ya majungu mtaani kwa anavyojua majungu na kuuchonga mdomo

Mwanamke Wa kiislamu na mambo ya mazishi makaburini wapi na wapi angeandika mwanaume Wa kiislamu walau tungeelewa sababu wanaume huenda makaburini kuzika

Hawa akina mwanahamisi wengi Wa Tanga umbeya na majungu umewajaa
Eti bibie Kweli haya FaizaFoxy Foxxy

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hoyo makala yake yote mwenzetu umeelewa sehem ya mazishi tu basi .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli
(i) "...uhodari wa nahodha hupimwa kwenye dhoruba..."

(ii) "...tunajua jinsi ys kufufua uchumi lakini hatujui jinsi ya kufufua wafu..."

(iii) "...utu ni bora kuliko kitu..."

(iv) "...Najua kupoteza Watanzania, 10, 100, 1000, 10,000 au hata 100,000 kati ya Watanzania takribani milioni 60 inaweza isiwe shida kitakwimu. Ila familia hizo zinazoondokewa na wapendwa wao, hawatakuja kupata baba mwingine, mama mwingine au mpendwa yoyote mwingine wa kuziba pengo hilo"

Hizi si hoja za kupuuza hata kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya majina ya mwanahamisi ni majina ya wanawake wambeya Wa Tanga !! Mimi akina mwanahamisi wengi Tanga niliokutana nao wana midomo hao !!! loo

Huyu mleta mada mwanahamisi Singano Naye ni mwanahamisi Wa Tanga?

You are tripping. This lady is far better than you in every aspect.

And she may have a lot more to gain from this administration than you.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
'MSALIMU', heshima mkuu.

Hii sio barua ya kusomwa mara moja, hata kwa sisi wavivu wa kusoma maandishi marefu.

Ahsante MZALENDO. Nitakusoma tena na tena, na tena.

Nitatengeneza mhtasari wa andiko lako kwa matumizi yangu binafsi. Natumaini naruhusiwa.
 
Mwanahamisi ni.mwanamke Wa kiislamu na wanawake Wa kiislamu hawaruhusiwi hata Siku moja kwenda makaburini kuzika kayajulia wapi ya makaburini mwanamke mumbeya huyo kutwa mwanahamisi Huyo yuko vikao vya majungu adi mtaani anaitwa mwenyekiti Wa kamati ya majungu mtaani kwa anavyojua majungu na kuuchonga mdomo

Mwanamke Wa kiislamu na mambo ya mazishi makaburini wapi na wapi angeandika mwanaume Wa kiislamu walau tungeelewa sababu wanaume huenda makaburini kuzika

Hawa akina mwanahamisi wengi Wa Tanga umbeya na majungu umewajaa
Hata haieleweki dhumuni lako hasa ni lipi katika mada hii.

Hivi kweli mtu na akili timamu unaweza ukasoma yaliyoandikwa kwenye mada halafu utoke na maandishi kama haya yako? Umelaaniwa?

Hata Rais unayempigania hapa akikusoma atashangaa sana kwa maandishi yako haya.

Nimeona niweke haya machache juu ya michango yako hii, pamoja na kuwa navunja mwiko wangu humu JF wa kutojihusisha na watu wa aina yako.
 
Haya majina ya mwanahamisi ni majina ya wanawake wambeya Wa Tanga !! Mimi akina mwanahamisi wengi Tanga niliokutana nao wana midomo hao !!! loo

Huyu mleta mada mwanahamisi Singano Naye ni mwanahamisi Wa Tanga?
Ovyooooo badala kukita ktk mada umbumbu umekupeleka kujadili jina
Wewe Si mpumbavu lkn hakika jamii forum imemevamiwa na Wapumbavu wanaotia kunyaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanahamisi ni.mwanamke Wa kiislamu na wanawake Wa kiislamu hawaruhusiwi hata Siku moja kwenda makaburini kuzika kayajulia wapi ya makaburini mwanamke mumbeya huyo kutwa mwanahamisi Huyo yuko vikao vya majungu adi mtaani anaitwa mwenyekiti Wa kamati ya majungu mtaani kwa anavyojua majungu na kuuchonga mdomo

Mwanamke Wa kiislamu na mambo ya mazishi makaburini wapi na wapi angeandika mwanaume Wa kiislamu walau tungeelewa sababu wanaume huenda makaburini kuzika

Hawa akina mwanahamisi wengi Wa Tanga umbeya na majungu umewajaa
Numikulie ktk makala yake sehemu aloseme kenda makaburini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..lakini nahodha mwiko kujitosa chombo kikipata dhoruba.

..nahodha tuliyenaye hana tofauti na Iddi Amin aliyekimbia Kampala akaenda kujificha Koboko.

..au Saddam aliyekimbia Baghdad akaja kupatikana Tikrit kwenye shimo la panya.
Lakini mkuu 'Joka Kuu', katika mstari huo nakubaliana naye, tukiacha kuwaangalia 'mabaharia' kama mateka wa 'nahodha.'

Mabaharia hawa ndio wenye chombo, na ndio wanaomruhusu huyo nahodha kukiendesha chombo.

Wanayo madaraka ya kumwondoa, na hata kumtosa majini wakati wowote na kumweka mwingine badala yake.
 
Kila mtu sasa ivi mwanaharakati!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli namna Jiwe anavyo bana uhuru wa kujieleza na kutisha vyombo huru vya habari kama unavyotambuliwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 toleo la 2000, anazalisha wanaharakati wengi.

Huwezi ukawa na akili yako huru ukavumilia #UkaidiWaMagufuli.
 
Back
Top Bottom