Ni heri usingezaliwa maana huna faida kwenye ardhi yetu we ni mkurupukaji...Haya majina ya mwanahamisi ni majina ya wanawake wambeya Wa Tanga !! Mimi akina mwanahamisi wengi Tanga niliokutana nao wana midomo hao !!! loo
Huyu mleta mada mwanahamisi Singano Naye ni mwanahamisi Wa Tanga?
Eti bibie Kweli haya FaizaFoxy FoxxyMwanahamisi ni.mwanamke Wa kiislamu na wanawake Wa kiislamu hawaruhusiwi hata Siku moja kwenda makaburini kuzika kayajulia wapi ya makaburini mwanamke mumbeya huyo kutwa mwanahamisi Huyo yuko vikao vya majungu adi mtaani anaitwa mwenyekiti Wa kamati ya majungu mtaani kwa anavyojua majungu na kuuchonga mdomo
Mwanamke Wa kiislamu na mambo ya mazishi makaburini wapi na wapi angeandika mwanaume Wa kiislamu walau tungeelewa sababu wanaume huenda makaburini kuzika
Hawa akina mwanahamisi wengi Wa Tanga umbeya na majungu umewajaa
Kwa hoyo makala yake yote mwenzetu umeelewa sehem ya mazishi tu basi .Mwanahamisi ni.mwanamke Wa kiislamu na wanawake Wa kiislamu hawaruhusiwi hata Siku moja kwenda makaburini kuzika kayajulia wapi ya makaburini mwanamke mumbeya huyo kutwa mwanahamisi Huyo yuko vikao vya majungu adi mtaani anaitwa mwenyekiti Wa kamati ya majungu mtaani kwa anavyojua majungu na kuuchonga mdomo
Mwanamke Wa kiislamu na mambo ya mazishi makaburini wapi na wapi angeandika mwanaume Wa kiislamu walau tungeelewa sababu wanaume huenda makaburini kuzika
Hawa akina mwanahamisi wengi Wa Tanga umbeya na majungu umewajaa
(i) "...uhodari wa nahodha hupimwa kwenye dhoruba..."
(ii) "...tunajua jinsi ys kufufua uchumi lakini hatujui jinsi ya kufufua wafu..."
(iii) "...utu ni bora kuliko kitu..."
(iv) "...Najua kupoteza Watanzania, 10, 100, 1000, 10,000 au hata 100,000 kati ya Watanzania takribani milioni 60 inaweza isiwe shida kitakwimu. Ila familia hizo zinazoondokewa na wapendwa wao, hawatakuja kupata baba mwingine, mama mwingine au mpendwa yoyote mwingine wa kuziba pengo hilo"
Hizi si hoja za kupuuza hata kidogo
Usher-smith
Hiyo Singano ni wa Tanga sasa sijui huyo wa wapi...?Haya majina ya mwanahamisi ni majina ya wanawake wambeya Wa Tanga !! Mimi akina mwanahamisi wengi Tanga niliokutana nao wana midomo hao !!! loo
Huyu mleta mada mwanahamisi Singano Naye ni mwanahamisi Wa Tanga?
unakariri,mamburula kama ndio husababisha nchi kuendeshwa na maamuzi ya watu wachacheAmechanganya ni uhodari Wa mabaharia sio nahodha kukitokea la kutokea mabaharia ndio wenye kazii.kubwa ya kuokoa abiria na mizigo
Haya majina ya mwanahamisi ni majina ya wanawake wambeya Wa Tanga !! Mimi akina mwanahamisi wengi Tanga niliokutana nao wana midomo hao !!! loo
Huyu mleta mada mwanahamisi Singano Naye ni mwanahamisi Wa Tanga?
Hata haieleweki dhumuni lako hasa ni lipi katika mada hii.Mwanahamisi ni.mwanamke Wa kiislamu na wanawake Wa kiislamu hawaruhusiwi hata Siku moja kwenda makaburini kuzika kayajulia wapi ya makaburini mwanamke mumbeya huyo kutwa mwanahamisi Huyo yuko vikao vya majungu adi mtaani anaitwa mwenyekiti Wa kamati ya majungu mtaani kwa anavyojua majungu na kuuchonga mdomo
Mwanamke Wa kiislamu na mambo ya mazishi makaburini wapi na wapi angeandika mwanaume Wa kiislamu walau tungeelewa sababu wanaume huenda makaburini kuzika
Hawa akina mwanahamisi wengi Wa Tanga umbeya na majungu umewajaa
Ovyooooo badala kukita ktk mada umbumbu umekupeleka kujadili jinaHaya majina ya mwanahamisi ni majina ya wanawake wambeya Wa Tanga !! Mimi akina mwanahamisi wengi Tanga niliokutana nao wana midomo hao !!! loo
Huyu mleta mada mwanahamisi Singano Naye ni mwanahamisi Wa Tanga?
Hata umwambieje hawezi kukuelewa ni kama wachawi!Kuwa na utu japo kidogo. Hakuna faraja katika kuzika ndugu usiku na bila staha wala heshima.
Numikulie ktk makala yake sehemu aloseme kenda makaburiniMwanahamisi ni.mwanamke Wa kiislamu na wanawake Wa kiislamu hawaruhusiwi hata Siku moja kwenda makaburini kuzika kayajulia wapi ya makaburini mwanamke mumbeya huyo kutwa mwanahamisi Huyo yuko vikao vya majungu adi mtaani anaitwa mwenyekiti Wa kamati ya majungu mtaani kwa anavyojua majungu na kuuchonga mdomo
Mwanamke Wa kiislamu na mambo ya mazishi makaburini wapi na wapi angeandika mwanaume Wa kiislamu walau tungeelewa sababu wanaume huenda makaburini kuzika
Hawa akina mwanahamisi wengi Wa Tanga umbeya na majungu umewajaa
Nashindwa kuelewa, utaahira wako ni wa kuzaliwa nao au wakutengenezwa ukubwani?Amechanganya ni uhodari Wa mabaharia sio nahodha kukitokea la kutokea mabaharia ndio wenye kazii.kubwa ya kuokoa abiria na mizigo
Umeona eeeeee?Ufala ni hali ya mtu kupuuzia yalio na maana na kujiambatanisha na ujinga.
Upo sahihi.Jiwe alipaswa abakie waziri wizara ya ujenzi, ndipo uwezo wake ilipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini mkuu 'Joka Kuu', katika mstari huo nakubaliana naye, tukiacha kuwaangalia 'mabaharia' kama mateka wa 'nahodha.'..lakini nahodha mwiko kujitosa chombo kikipata dhoruba.
..nahodha tuliyenaye hana tofauti na Iddi Amin aliyekimbia Kampala akaenda kujificha Koboko.
..au Saddam aliyekimbia Baghdad akaja kupatikana Tikrit kwenye shimo la panya.
Ni kweli namna Jiwe anavyo bana uhuru wa kujieleza na kutisha vyombo huru vya habari kama unavyotambuliwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 toleo la 2000, anazalisha wanaharakati wengi.
Kwani ni lazima kuchangia kama huna cha kuchangia.....una wadudu wana kuwasha?Amechanganya ni uhodari Wa mabaharia sio nahodha kukitokea la kutokea mabaharia ndio wenye kazii.kubwa ya kuokoa abiria na mizigo