Mwanahamisi ‘Mishy’ Singano: Kilio changu kwako Rais Magufuli

"Mheshimiwa Rais, msiposema ukubwa wa tatizo, wananchi watatafuta upenyo wa pa kusemea kwa sababu madhila yanapozidi mioyo ya binadamu huota kutu.Tuambiane ukweli, hata unapokuwa mchungu.

Ukweli utatuweka huru na utatuleta pamoja kufanya kila linalowezekana kutafuta suluhu ya kupambana na korona na madhara ya kiuchumi na kijamii"
 
Kwa jinsi nilivyoelewa maelezo yake kaandika ameona kwenye video zinatotembea kwenye groups za WhatsApp wakizika usiku. Sijaona mahali kaandika amekwenda makaburini?
 
Ni Moja ya barua Bora zaidi kutolewa kipindi hichi cha. Corona .. Thanks Mwanhamisi Singano!
 
Kwa jinsi nilivyoelewa maelezo yake kaandika ameona kwenye video zinatotembea kwenye groups za WhatsApp wakizika usiku. Sijaona mahali kaandika amekwenda makaburini?
Ataje hilo group la watsap in Nani wanaume au wanawake akina Mwanahamisi Nichokonoe au akina Asha Ngedere wanawake wasioenda kuzika?

Ataje admin Wa hill group ni Nani na members wake in nani .Polisi nawakabidhi rasmi MTU wenu huyo sheria ya mtandao inamhusu mkamateni kuleni naye sahani moja
 
Tatizo hiyo barua ilivyoandikwa kwa ufasaha umetoka kapa ndo maana unabwanwaja hapa.Umezoea kusona mipasho na umbea wa mtaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana kwa Maneno yenye hekima sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukubwa wa akili ya mtu utauoona kwenye mawazo yake. Naona akili ya YEHODAYA haiwezi hata kujaa kwenye kisoda kutokana na hoja alizozishikilia kwenye arguments zake. Anyway huo nao ni ulemavu kama ulemavu mwingine wa viungo. Hatuna msaada
 
Kama mpaka sasa hujajua ukubwa wa tatizo LA covid_19 utakuwa punguani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maneno uliyooongea hayatakiwi kuishia humu, tafadhali Kwa ujasiri huuu uliyotumia humu, utumie kusambasa maneno haya katika mitandao mingne, ujumbe huuu ukiusambaza kwa wingi wapo watawala watabadili mitizamo na kuufanyia Kazi, ni ujumbe mzito Sana kuliko unavyofikiri, jitahid ujumbe huuu uende fb na maneno yoooote Kama tweeter, utaokoa watanzania wengi kusambaza huuu ujumbe, ujumbe umenitoa machozi, ujumbe huuu nakuomba uuusambaze had uwafikie watawala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli anafurahia vifo kwa watanzania Sema tu hujafiwa ndio ujue kuwa anafurahia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…