Mwanaharakati Japhet Mattara aumizwa, anahitaji msaada

Hilo bwege lifungwe maisha, ni aibu kijana mdg hvyo hataki kufanya kazi.
 
Afuatiliwe na nani mzee
 
Kwa hiyo mlitaka kumuua kama mlivyomuua Mdude Nyagali ili Mzanzibari aendelee kuitawala Tanganyika yetu.
 
Nilisikiliza ishu moja inasema hivi;

Ukija na bunduki na mimi nikija na bunduki tutajadiliana juu ya sheria na matakwa yake.

Ukija na kisu na mimi nikija na kisu tutajadiliana juu ya kanuni.

Ukija mikono mitupu na mimi nikija mikono mitupu tutajadiliana kwa hoja.

Ukija na bunduki mimi nikija mikono mitupu wewe utakua haujashika silaha utakua umeshika uhai wangu.

Sasa hawa wenzetu wanaenda mikono mitupu, hawatoi hoja ila matusi na kashfa halafu wenzao wameshika bunduki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…