Mwanaharakati Japhet Mattara aumizwa, anahitaji msaada

Asante kwA tahadhari
 
Japo serikali ilimfanyia vibaya pale mwanzo lakini alikosa kabisa busara. Kauli zake zilikuwa za kutukana serikali, polisi na kila mtu anayempinga na kumshauri. Kwa serikali zetu hizi hilo ni hatari, alitakiwa kuwa na busara
Ukimshauri aachane na matusi, ana ku-block
 
Ndio nani kwanza huyo Matala wenu?
Ni mwanqharakati wa Twitter. Mwaka 2022 alifungwa jela kuchapisha uwongo na kisha wana Twitter wakamchangia akatoka jela. Alipotoka amekuwa mtu wa matusi kwa Polisi, viongozi wa Serikali nk. Mrengo wake wa kisiasa ni CHADEMA ndiyo anaishbikia sana sera zake kama SATIVA
 
Atajua mwenyewe na wanaomtuma.
 
Afie zake mbali huko, mtu badala ya kuishi maisha yako, anakuwa bize kupambana na mamlaka, wangemf......r..a.. kabisa pumbavu!
 
Mbona anashambulia na kutukana kwenye ID zake nyingine fake?
 
Hii siyo post ya kuomba pesa bali ni post ya tukio lililompata mwanaharakati wa matusi. Kuna cha kujifunza kwa wengine
Hiyo akaunti yake aliyoiweka ni kwa ajili ya kumuingizia matusi? Wewe unaviashiria vya kipolisi, lori lipinduka likitoka kwenye chanjo, rais; lori lilipinduka wakienda kwenye mkutano wetu.
 
Wewe poyoyo tu ..waungwana washamchangia na kiasi kilichosalia ni Tzs. 563,050

 
Afie zake mbali huko, mtu badala ya kuishi maisha yako, anakuwa bize kupambana na mamlaka, wangemf......r..a.. kabisa pumbavu!
Alikwsha firww ndiyo maana kachafukwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…