Pre GE2025 Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

Pre GE2025 Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni mapema kusema serikali hii au ile inahusika. Lakini kama wanahusika basi wajue wanaangukia kwenye mtego uleule alionasa JPM.

Ukianza kuua watu, basi umewatangazia maadui zako kuwa kuuana ni 'fair game'. Kwamba na wao watumie mbinu yoyote wanayoweza. Kamwe hautoshinda!

Natumaini serikali yangu haihusika kabisaa na drama hizi.
Watetezi wa Samia ni wengi sana kwa sababu ya asali,ingekuwa Magufuli mida hii mitandao ingekuwa inawaka moto
 
downloadfile.png
 
ANAANDIKA Mh LISSU

Maria Sarungi-Tsehai, one of Tanzania's foremost and fearless critics of the Samia regime and a dearest friend has been snatched by three unidentified gunmen in the vicinity of Yaya Centre in the Kenyan capital of Nairobi.

A strident opponent of the Magufuli dictatorship, Maria had fled to exile in Kenya since just before the fraudulent 2020 general elections and had been running Chanzo TV, a pro-democracy online platform.

While we hope and pray for Maria's life and safety, we must call upon the Kenyan government and all people of goodwill from around the world to intervene in whatever capacity they can to help secure Maria's safe return to her family.

And we must tell whoever is behind Maria's abduction and disappearance that no amount of terror and violence or intimidation will silence us. That many many more Marias will step forward to take up her fight for democracy and decency in Tanzania.


So, mim nauliza tu
kwamba mropokaji na kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anajaribu kuripoti kwa wanaombackup huko ulaya kwamba, ni magufuli au samai ndie walio mteka huyu muingiliaji na mvurugaji wa famili za watu kwa maslahi yake binafsi kwa mgongo wa kutetea haki za binadamu? au ni kujaribu kutafuta huruma ambazo hazina maana yoyote? :pulpTRAVOLTA:
 
Watetezi wa Samia ni wengi sana kwa sababu ya asali,ingekuwa Magufuli mida hii mitandao ingekuwa inawaka moto

siyo tu sababu ya hiyo unayoiita asali, uislamu pia, waislamu wote 100% watamtetea raisi samia no matter what na hapo hakuna mjadala, wakati raisi Mkristo atachukiwa 100% na waislamu na kwa upande wa wakristo wa tanzagiza pia nusu watamkubali nusu watamchukia, hivyo waislamu siku zote watashinda tanzagiza, Christians have it harder …
 
Back
Top Bottom