Mwanaharakati Rehema Mugogo akiwa amepozi

Ndo Nani huyu,
Umeandika kana kwamba wote tunamfahamu
 
Anabeba vyuma mbona anamwili umekakamaa kama zege ya mjerumani?
 
Hiyo pete kidole cha kati maana yake amekioa hivho kidole chake au inakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…