Mwanaharakati Ruge kwenye club house anadai hali siyo nzuri huko. Adai Mafwele kasema hataenda chini pekee yake

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
9,265
Reaction score
20,526
Kuna Mwanaharakati maarufu Mtanzania anayeishi Marekani anaongeaga sana kwa fujo na kufokafoka Rugemarila ama kaka Ruge kwenye mtandao wa kijamii wa club house na tiktok anadai Mafwele katishia hatakubali kwenda chini pekee yake atamwaga ugali na mboga. Jamaa anadai kapenyezewa hii habari na chanzo muhimu na kuaminika kutoka jikoni.

MamaSamia2025

Nyau de adriz
 
Wanataka kumtoa kafara, hatokubali japokuwa alionywa ccm haina rafiki
 

Mbona jamaa keshawambia, haendi chini peke yake lazima aanguke nao kwa kumwaga ugali na mboga. It has been two weeks a go
 
Ya narudi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…