I second it. Masa pole sana na kipigo cha Mancin and the boyz. sisi tunafukuza mwizi kimya kimya. Back to business, JK kulikoni na hayo mabadiliko?
Amejenga chama kipi? SISIM au Una maana nyingine?Mama alipendezea sana Uingereza na amekijenga chama kwa njia ya mashina katika viunga vya UK.
Hongera sana mama! Binafsi nakukubali sana...umeboresha mshikamano na mahusiano na UK!
Kwa hiyo kazi yake kubwa ilikuwa ni kusimamia Chama ama Serikali?.Je Uk alikuwa anawawakilisha wana CCM au Watanzania wote bila kujali chama?.Je hakuna wanaupinzani Uk waliohitaji huduma yake?.Basi kama alikuwa akisimamia chama basi hafai kuwa Balozi.
Nawakilisha
Mama Mwanaidi ukifika Marekani Wasalime akina Mwanakijiji na Watanzania wote waliopo huko hata wale wenye kutaka uraia wa nchi mbili wote wasalimie pia.Kila la kheri Mama Majaar
So sick buddy! JT is costing us with his dic k....Nadhani ni strategies za kuboresha mahusiano kwa faida ya Tanzania. Mama Kichwa sana UK ilikuwa haijawahi kuwa na muwakilishi makini mwenye kutetea maslahi ya nchi yake. Ubalozi wetu UK ameubadili sana hata attitude za watendaji pale.
In two years time, Shirikisho la Afrika Mashariki litakapoanza, Jamhuri ya Afrika Mashariki itakuwa inawakilishwa na balozi mmoja. Hii itasaidia kutupatia wawakilishi mabalozi kila mahali, na pia itapunguza gharama!
Bring it on EAC!
Hizi ni propaganda za SISIM.Mahusiano vipi?weather hatuna balozi UK,hakuna kitachobadilika.Labda watu wa kutuuzia ma RADAR.Mtu wa kawaida Tanzania afaidi chochote kabisa.Balozi hizi hazibadilishi policy,sijawahi kuona Balozi anahojiwa na mainstream media,hakuna promotion ya tourism etc.
Mabalozi wa nje ni ulaji tu,na kuandaa pa kulala wazee wanapokuja shopping1
na we una matatizo yako kati ya watu wote wa kuwasilimia umeshindwa kujizuia kutaja hili jina.. haya akija na miye nitamsalimia.
Mwanakijiji kama unaishi United States of A I will surely look for you seems ndo viwanja vyako hivyo na jinsi sredi zinavyorushwa jamvini. Au hutataka kupata wageni kucrush at your place for a night or so???? Soory people off topic kiduchu.
nakaribisha wageni wakati wote; tunaambiwa wengine wanapokaribisha wageni hawakujua wamekaribisha na malaika.!
Mmmhhh...mbona umeichangamkia sana hii? Lol...
Kwa wale walisoma Sheria UDSM wanamjua na pia sijui kwanini JK aliamua kumteua mdogo mtu na sio dada yake?mmh.. ngosha! si unajua kule kwa Gapa tumefunzwa ukarimu bwana?
ni mama mmoja mwenye kipaji cha kujua kuongoza watu na kujichanganya na watu wake huku hakiweka heshima ya uongozi wake subirini mta muona kila state huyu sherehe za serikali hau hata certain entertainment hila agenda ni moja anakuja kuwabatiza U-CCM.Kwa wale walisoma Sheria UDSM wanamjua na pia sijui kwanini JK aliamua kumteua mdogo mtu na sio dada yake?
Ni kweli kabisa na pia I know some people katk family yake ni mtu mzuri sanani mama mmoja mwenye kipaji cha kujua kuongoza watu na kujichanganya na watu wake huku hakiweka heshima ya uongozi wake subirini mta muona kila state huyu sherehe za serikali hau hata certain entertainment hila agenda ni moja anakuja kuwabatiza U-CCM.
amelifanya hilo jambo kwa u-hodari huku labda sasa zamu yenu.