Mwanajamii forum

Mwanajamii forum

Yona F. Maro

R I P
Joined
Nov 2, 2006
Posts
4,201
Reaction score
236
Kuna mwanachama mmoja wa jamii forum yuko muhimbili amelazwa kwa jina ni athumani hamisi , nashangaa kwanini hatumpi pole tunajifanya hatujui kinachoendelea au kwasababu yeye ndio aliyehusika katika ukaguzi wa wale vijana wawili wakati ule wa mshike mshike ?

Tuwe waungwana jamani
 
Last edited by a moderator:

Maumivu ya kichwa huanza pooole pole....
 
Sasa Shy ndugu yangu mtu wawezaje kumpa pole mtu usiyefahamu kama ni mgonjwa? Ungetuambia fulani bin fulan anaumwa na yuko hospitali fulani tumuombee ili apate kupona.
Shy wewe si ni mwandishi wa habari? sasa mbona walaumu kutatuka kwa kaputura kabla ya kuuona msumari uliotoboa??
 
Kuna mwanachama mmoja wa jamii forum yuko muhimbili amelazwa kwa jina ni athumani hamisi , nashangaa kwanini hatumpi pole tunajifanya hatujui kinachoendelea au kwasababu yeye ndio aliyehusika katika ukaguzi wa wale vijana wawili wakati ule wa mshike mshike ?

Tuwe waungwana jamani

Acha kulalamika, hata wewe ni part of jamii forums ungeweza kuanzisha thread inayomuhusu huyo mgonjwa na wanajamii wangeanza kumpa pole.

Nadhani unajua kuwa kuna watu wameanzisha harambee ( Changia Athuman Hamis apone} ya kumchangia huyo mgonjwa, account inayotumika ni ya Asha baraka. sijui mgonjwa hana account bank yoyote. mh

Pole sana Athuman Hamis
 
Tumchangia apate faranga za kulipia matibabu lakini isiwe kwa account ya Asha Baraka. Walio karibu naye wawasiliane atoe account yake naamini anayo. Haya wana JF mwenzetu anahitaji msaada wetu.
 
Kuna mwanachama mmoja wa jamii forum aliyehusika katika ukaguzi wa wale vijana wawili wakati ule wa mshike mshike ?
Mkuu unasemaje? Come again Please? alikagua?
 
Sasa Shy ndugu yangu mtu wawezaje kumpa pole mtu usiyefahamu kama ni mgonjwa? Ungetuambia fulani bin fulan anaumwa na yuko hospitali fulani tumuombee ili apate kupona.
Shy wewe si ni mwandishi wa habari? sasa mbona walaumu kutatuka kwa kaputura kabla ya kuuona msumari uliotoboa??

Mimi sio mwandishi wa habari
 
wale vijana wawili waliokamatwa wakati ule - huyo athumani hamisi ndio alisaidia katika kuwapekuwa umeelewa sasa ??

Aaaaaaha hawa ndio wale jamaa ambao huwa wanakuja mahakamani na kusema order yoyote toka kwa bosi wako ni amri halali hata kama kwa utashi wako unaona inakiuka haki za binadamu. Jamaa anaumaarufu gani? mbona habariz zake mpka michango inatangazwa sana? Mtu anweza kutupa HINT kidogo, maana mpaka Ikulu inahamia huko, na serkali ina mpango wa kumpleka nje? Hii inanichanganya nahitaji kumjua zaidi.
 
Sasa sisi wana JF wengine tungejuaje kama ni mwanachama wa hii forum? Maana sio wote tunajuana kwa majina yetu halali. Lakini, kwa vile umeshatuambia, basi mimi nampa pole sana. Inshallah, Mwenyezi Mungu atamsaidia.

I'm very skeptical na hizi harambee za kuweka pesa kwenye account za watu wabaki. Hivi huyu bwana hana account? Hana mke, watoto, kaka, dada etc wenye accounts?
 
Last edited:
Pole sana Athuman hamis!Mungu akurejeshee afya yako mapema!
 
Shy tunakupa jukumu la kutupa maendeleo yake ya kila siku halafu tunaomba uwe una fuatilia members wote wa jf wakiumwa tu unatujulisha

Mungu akuafu Athumani
 
I'm very skeptical na hizi harambee za kuweka pesa kwenye account za watu wabaki. Hivi huyu bwana hana account? Hana mke, watoto, kaka, dada etc wenye accounts?

Mchumba wake anasoma USA amerudi juzi kumwona, lakini nataka kujua umaarufu wake unatokana na nini mpaka anatangazwa hivi? Kikwete alienda kumwona, mamiss Tz walifika, Huyu Athumani Hamisi ni nani Jamani? Ni mwandishi wa kawaida tu??????
 
Ni mpiga picha wa dailynews mwanakijiji anamjua sana huyu jamaa ni rafiki yake mzuri huwa anatumiana nae picha mbali mbali za habari na matukio
 
Ni mpiga picha wa dailynews mwanakijiji anamjua sana huyu jamaa ni rafiki yake mzuri huwa anatumiana nae picha mbali mbali za habari na matukio
Huyu nae sijui karogwa......hivi nikuulize ulilipwa kiasi gani kwa kuishtaki JF polisi?
 
Tumchangia apate faranga za kulipia matibabu lakini isiwe kwa account ya Asha Baraka. Walio karibu naye wawasiliane atoe account yake naamini anayo. Haya wana JF mwenzetu anahitaji msaada wetu.
...Wanahusiana vipi na Asha Baraka??
 
Huyu nae sijui karogwa......hivi nikuulize ulilipwa kiasi gani kwa kuishtaki JF polisi?

Ungetusaidia sana kama ungetuambia huyu jamaa ni mwandishi ilikuwaje alifanya kazi ya kuwapekua wanaJF? Bado nashindwa kuchanga karata? Alafu kwenye Blog Fulani anaitwa mpiganaji, ni mpiga picha za matukio ya kipelelezi kwenye zile habari zinazoitwa investigative Journalism? kama picha za Mafisadi? Au?
 
Jamani. Mwacheni Shy kama alivyo.

YOYO, unataka inside story from Shy? LOL

Nina washauri mfanye/mchangie sehemu nyingine na sio hii mnapoteza muda wenu bure
 
Back
Top Bottom