Mwanajamii wa mba kazi hii uliyokuwa unaitaka na kwa wale wenye sifa

Mwanajamii wa mba kazi hii uliyokuwa unaitaka na kwa wale wenye sifa

MAUBIG

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,039
Reaction score
855
Anatafutwa HEAD OF FINANCE, MWAJIRI NI SIKIKA (NGO)
SIFA
1. CPA uwe nayo
2. Uzoefu miaka 3
3. knowledge of accounting packages na taxation system ya nchi yetu
4. marefa wawe 3
5. tuma CV NA COVER LETTER kWENDA jobs@sikika.or.tz before 27/04/2012


job description ni ndefu nimeshindwa kuikopi, cha msingi kazi ni zilizile za watu wa finance and accounting


JARIBU BAHATI YAKO
 
Nina marefa wawili na watatu nataka uwe wewe,upo tayari?
 
Muulize jirani yako huyo huyo. Sijui utajisikiaje ukisikia jirani yako naye anataka kuhack yako kama ungekuwa nayo? Stop crying start thinking how to live by legal means instead of crime.
 
Siwezi kuwa refa wako, maana sikujui wakinipigia wataka niwaambie nini
 
Back
Top Bottom