Alice Gisa
Senior Member
- Sep 6, 2014
- 172
- 417
Mwanajeshi mmoja wa jeshi la DRC liitwalo FARDC ameivamia nchi ya Rwanda Leo trh 17.06.2022 alfajiri. Jamaa akiwa na bunduki aina ya AK 47 amaevamia post ya mpaka na kuingiza nchini Rwanda.
Jamaa amewasambilia wanajeshi wa Rwanda na kuua watatu na kujeruhi wengine.
Aidha Jeshi la Rwanda limefanikiwa kumuua.
Japokua jeshi La Rwanda limekanusha kuuwawa kwa maasikari wao lakini video mitandao zinathibitisha kuuwawa kwa maasikari hao.
Joto kati ya DRC na Rwanda linazidi kuongezeka.