Mwanajeshi Comando mmoja wa DRC aivamia Rwanda

Mwanajeshi Comando mmoja wa DRC aivamia Rwanda

Uongo mtupu! hizo video mtandaoni kalete hapa tuone! amejeruhi hajauwa,hawanaga target ya kuuwa wale. ila proof hizi hapa uashe upotoshaji na ushabiki wakijinga. Bangi sio kitu kizuri[emoji23] eti aliigiza kuwa Commando! (RAMBO).

Fuata hiyo link. Bahati nzuri alishuti video alikua Rwanda side. Tazama kwa umakini circle utaona dead RDFs
 
hiyo hapo👇wamechukua na maiti yao kabisa.
Kagame shame on you

Rais wa Kenya last month aliitisha mkutano huko Nairobi wa kutafuta amani ya DRC jamaa aliwaita marais wa burundi, uganda, Drc na baadhi ya makundi, jamaa hakuwa makini kumuita PK, in case kama.alimwita na kama alikataa means alipuuzia na baada ya ule mkutano naona mambo ndio yakazid kuharibika zaidi

Nafikir imefikia muda sasa mbivu mbichi ijulikane
 
Kwamba Wanyarwanda wangapi wameuwawa na huyu commando kama mtoa mada alivyosema ? Mr Putin
amemjeruhi huyu jamaa👇isingekua bangi angeua wengi maana angetumia akili sio kupiga risasi hovyo.
 
Attachments

  • IMG_20220617_160553.jpg
    IMG_20220617_160553.jpg
    48.1 KB · Views: 8
  • IMG_20220617_165751.jpg
    IMG_20220617_165751.jpg
    84.3 KB · Views: 10

Tazama makumi elfu ya wakazi wa Jiji la Goma DRC walivyopokea mwili wa Komandoo husika.

Wananchi wanaichangia familia yake fedha kwa kasi kubwa.

Kuna uamsho mkwa wa Kongom kupinga fitina za Rwanda.

Congo kwa kelele na mbwembwe huko Twitter unaweza kudhani Ni Superpower au iko inashinda Vita kumbe wanajeshi wake wanapewa kichapo mpaka wanakimbilia Uganda.

Watu wa Congo nawafananisha na wananchi wa Ukraine Kule Twitter yaani wanakula kichapo kila siku wanakufa kwa mamia lkn wako bize na Slava Ukraine Slava Ukraine Slava Ukraine 😄😄
 
Mwanajeshi mmoja wa jeshi la DRC liitwalo FARDC ameivamia nchi ya Rwanda Leo trh 17.06.2022 alfajiri. Jamaa akiwa na bunduki aina ya AK 47 amaevamia post ya mpaka na kuingiza nchini Rwanda.

Jamaa amewasambilia wanajeshi wa Rwanda na kuua watatu na kujeruhi wengine.

Aidha Jeshi la Rwanda limefanikiwa kumuua.

Japokua jeshi La Rwanda limekanusha kuuwawa kwa maasikari wao lakini video mitandao zinathibitisha kuuwawa kwa maasikari hao.

Joto kati ya DRC na Rwanda linazidi kuongezeka.
Day afadhali kaonyesha uzalendo atakumbukwa
 
Punguza jaziba kaka! usiwe kama alie leta taarifa,bangi sio kitu vijana muache tu. unaingia nchi ya watu unapiga risasi hovyo eti umekua komando kwa kua umevuta bangi!.
kuna watu mko wasenge, sasa kwenye mgogoro wa rwanda na kongo napo mmeanza ushabiki wa kisenge uo
 
Ndo makomando wetu hao mbinu kisoda kazi kubeba mabegi makubwa na magogo ya miti tu
 
Tazama makumi elfu ya wakazi wa Jiji la Goma DRC walivyopokea mwili wa Komandoo husika.

Wananchi wanaichangia familia yake fedha kwa kasi kubwa.

Kuna uamsho mkwa wa Kongom kupinga fitina za Rwanda.

Tshesekedi kishawanywesha sumu ya uzalendo wacongo,huko mbeleni isipobadilika itakua hatari sana maziwa makuu
 
Mwanajeshi mmoja wa jeshi la DRC liitwalo FARDC ameivamia nchi ya Rwanda Leo trh 17.06.2022 alfajiri. Jamaa akiwa na bunduki aina ya AK 47 amaevamia post ya mpaka na kuingiza nchini Rwanda.

Jamaa amewasambilia wanajeshi wa Rwanda na kuua watatu na kujeruhi wengine.

Aidha Jeshi la Rwanda limefanikiwa kumuua.

Japokua jeshi La Rwanda limekanusha kuuwawa kwa maasikari wao lakini video mitandao zinathibitisha kuuwawa kwa maasikari hao.

Joto kati ya DRC na Rwanda linazidi kuongezeka.
DRC YACHOSHWA NA RWANDA, WAZICHAPE TU, THEN WAIKALIE RWANDA NDIPO DRC ITAPATA AMANI RWANDA NDIO CHANZO CHA KILA BALAA NDANI YA DRC,
>Congolese must unite and be one with one goal.
 
Tazama makumi elfu ya wakazi wa Jiji la Goma DRC walivyopokea mwili wa Komandoo husika.

Wananchi wanaichangia familia yake fedha kwa kasi kubwa.

Kuna uamsho mkwa wa Kongom kupinga fitina za Rwanda.
wangeungana na kwenda kushambulia Rwanda si wangemaliza kaz mapema tu
 
Back
Top Bottom