Mwanajeshi Comando mmoja wa DRC aivamia Rwanda

Uongo mtupu! hizo video mtandaoni kalete hapa tuone! amejeruhi hajauwa,hawanaga target ya kuuwa wale. ila proof hizi hapa uashe upotoshaji na ushabiki wakijinga. Bangi sio kitu kizuri[emoji23] eti aliigiza kuwa Commando! (RAMBO).

Fuata hiyo link. Bahati nzuri alishuti video alikua Rwanda side. Tazama kwa umakini circle utaona dead RDFs
 
Tazama makumi elfu ya wakazi wa Jiji la Goma DRC walivyopokea mwili wa Komandoo husika.

Wananchi wanaichangia familia yake fedha kwa kasi kubwa.

Kuna uamsho mkwa wa Kongom kupinga fitina za Rwanda.
 
hiyo hapoπŸ‘‡wamechukua na maiti yao kabisa.
Kagame shame on you

Rais wa Kenya last month aliitisha mkutano huko Nairobi wa kutafuta amani ya DRC jamaa aliwaita marais wa burundi, uganda, Drc na baadhi ya makundi, jamaa hakuwa makini kumuita PK, in case kama.alimwita na kama alikataa means alipuuzia na baada ya ule mkutano naona mambo ndio yakazid kuharibika zaidi

Nafikir imefikia muda sasa mbivu mbichi ijulikane
 
Kwamba Wanyarwanda wangapi wameuwawa na huyu commando kama mtoa mada alivyosema ? Mr Putin
amemjeruhi huyu jamaaπŸ‘‡isingekua bangi angeua wengi maana angetumia akili sio kupiga risasi hovyo.
 
Attachments

  • IMG_20220617_160553.jpg
    48.1 KB · Views: 8
  • IMG_20220617_165751.jpg
    84.3 KB · Views: 10
Tazama makumi elfu ya wakazi wa Jiji la Goma DRC walivyopokea mwili wa Komandoo husika.

Wananchi wanaichangia familia yake fedha kwa kasi kubwa.

Kuna uamsho mkwa wa Kongom kupinga fitina za Rwanda.
Congo kwa kelele na mbwembwe huko Twitter unaweza kudhani Ni Superpower au iko inashinda Vita kumbe wanajeshi wake wanapewa kichapo mpaka wanakimbilia Uganda.

Watu wa Congo nawafananisha na wananchi wa Ukraine Kule Twitter yaani wanakula kichapo kila siku wanakufa kwa mamia lkn wako bize na Slava Ukraine Slava Ukraine Slava Ukraine πŸ˜„πŸ˜„
 
Day afadhali kaonyesha uzalendo atakumbukwa
 
Punguza jaziba kaka! usiwe kama alie leta taarifa,bangi sio kitu vijana muache tu. unaingia nchi ya watu unapiga risasi hovyo eti umekua komando kwa kua umevuta bangi!.
kuna watu mko wasenge, sasa kwenye mgogoro wa rwanda na kongo napo mmeanza ushabiki wa kisenge uo
 
Ndo makomando wetu hao mbinu kisoda kazi kubeba mabegi makubwa na magogo ya miti tu
 
Nilichojifunza watu wenye asili ya Ututsi ukabila umewaathiri sana kiasi wanamuona Kagame km godfather wao na Rwanda kama Jerusalem yao. So no matter kinatokea wao watatetea Jerusalem na godfather wao.
Ogopa makabila yanayopenda kubebana. Hata chini ya utawala wa jiwe, miaka ya mbeleni Tz ingefika huko.
 
Tazama makumi elfu ya wakazi wa Jiji la Goma DRC walivyopokea mwili wa Komandoo husika.

Wananchi wanaichangia familia yake fedha kwa kasi kubwa.

Kuna uamsho mkwa wa Kongom kupinga fitina za Rwanda.
Tshesekedi kishawanywesha sumu ya uzalendo wacongo,huko mbeleni isipobadilika itakua hatari sana maziwa makuu
 
DRC YACHOSHWA NA RWANDA, WAZICHAPE TU, THEN WAIKALIE RWANDA NDIPO DRC ITAPATA AMANI RWANDA NDIO CHANZO CHA KILA BALAA NDANI YA DRC,
>Congolese must unite and be one with one goal.
 
Tazama makumi elfu ya wakazi wa Jiji la Goma DRC walivyopokea mwili wa Komandoo husika.

Wananchi wanaichangia familia yake fedha kwa kasi kubwa.

Kuna uamsho mkwa wa Kongom kupinga fitina za Rwanda.
wangeungana na kwenda kushambulia Rwanda si wangemaliza kaz mapema tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…