Mshana Jr siku zinavozidi kwend IQ yako imekua kama Law of diminishing Marginal Utility. Raia wa kigeni anakamatwa vizuri tu ila PGO imeweka exception kwa baadhi ya mataifa kuwa wakikamatwa basi embassy zao zitataarifiwa tuu tena anayewataarifu ni DPP baada ya kupewa taarifa na DCI binafsi nawafahamu wafungwa wamarekani wapo katika magereza ya bongo wamefungwa kwa makosa mbalimbali na US inawahudumia kama raia wake hatuhitaji kutumia sheria za nchi anayotoka muhalifu.Wenye mwananchi wao wameweka bayana kwamba wanajeshi wao huwa hawakatwi na watu wageni