Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Ukifatilia sàna ni Lasaba alafu Muislam.Mwanajeshi Mstaafu wa Jeshi la Ulinzi Tanzania (JWTZ), Seif Miraji Mkambala ambaye pia ni msanii wa muziki amewasihi wananchi kulinda amani na kuchukua tahadhari na machapisho ya mitandaoni kwa kuwa Tanzania ni kitovu cha amani duniani.
Mkambala amewataka Vijana kujitokeza kwa wingi siku ya Uchaguzi kuwachagua Rais, Wabunge na Madiwani ili kutimiza haki yao ya kikatiba.
Njaa inamsumbuaMwanajeshi Mstaafu wa Jeshi la Ulinzi Tanzania (JWTZ), Seif Miraji Mkambala ambaye pia ni msanii wa muziki amewasihi wananchi kulinda amani na kuchukua tahadhari na machapisho ya mitandaoni kwa kuwa Tanzania ni kitovu cha amani duniani.
Mkambala amewataka Vijana kujitokeza kwa wingi siku ya Uchaguzi kuwachagua Rais, Wabunge na Madiwani ili kutimiza haki yao ya kikatiba.
mwana ccm huyo tena msanii 29/10/2025 mwambie atoke tukakomboe nchi kutoka kwa mafisadiMwanajeshi Mstaafu wa Jeshi la Ulinzi Tanzania (JWTZ), Seif Miraji Mkambala ambaye pia ni msanii wa muziki amewasihi wananchi kulinda amani na kuchukua tahadhari na machapisho ya mitandaoni kwa kuwa Tanzania ni kitovu cha amani duniani.
Mkambala amewataka Vijana kujitokeza kwa wingi siku ya Uchaguzi kuwachagua Rais, Wabunge na Madiwani ili kutimiza haki yao ya kikatiba.
😃😃😃Ukifatilia sàna ni Lasaba alafu Muislam.
Kabisamwana ccm huyo tena msanii 29/10/2025 mwambie atoke tukakomboe nchi kutoka kwa mafisadi
Mpuuzi hajitambuiMwanajeshi Mstaafu wa Jeshi la Ulinzi Tanzania (JWTZ), Seif Miraji Mkambala ambaye pia ni msanii wa muziki amewasihi wananchi kulinda amani na kuchukua tahadhari na machapisho ya mitandaoni kwa kuwa Tanzania ni kitovu cha amani duniani.
Mkambala amewataka Vijana kujitokeza kwa wingi siku ya Uchaguzi kuwachagua Rais, Wabunge na Madiwani ili kutimiza haki yao ya kikatiba.
Asante sn inabildi wote tuongee lugha mojaTunadanganywa sana kwenye hii ishu ya kulinda amani, kwamba wananchi walinde amani huku viongozi wakijilimbikizia mali kupitia huo ujinga wa kuwaambia watu walinde amani.
Mwambie yeye ni mpumbavu na familia yake.Mwanajeshi Mstaafu wa Jeshi la Ulinzi Tanzania (JWTZ), Seif Miraji Mkambala ambaye pia ni msanii wa muziki amewasihi wananchi kulinda amani na kuchukua tahadhari na machapisho ya mitandaoni kwa kuwa Tanzania ni kitovu cha amani duniani.
Mkambala amewataka Vijana kujitokeza kwa wingi siku ya Uchaguzi kuwachagua Rais, Wabunge na Madiwani ili kutimiza haki yao ya kikatiba.