shangwe shangwe
Senior Member
- Oct 17, 2012
- 108
- 24
Peleka hii thread huko jokes au wapeleke gpl
mkuu hii sio joke imetokea live sehemu za manyovu kigoma watu wakashangaa sana.
mmmmhh!alikosa nauli ya kurudi kwao nn?Mwanajesh: we ni mtanzania au muhamiaji haramu? Muhamiaji: Mi ni muhamiaji haramu. Mwanajeshi: unatoka nchi gani? Muhamiaji: Canada! Mwanajeshi: kama unatoka Canada we sio haramu,labda ungekuwa unatoka Burundi,RWANDA au Congo. Muhamiaji: hapana,mi ni muhamiaji haramu naomba mnirudishe kwetu.....!
mkuu hii sio joke imetokea live sehemu za manyovu kigoma watu wakashangaa sana.