Mwanajeshi wa Rais Samia aumbuka ugenini, kachero la Kikorea lamtoa kwenye red carpet nyuma ya viongozi

Mwanajeshi wa Rais Samia aumbuka ugenini, kachero la Kikorea lamtoa kwenye red carpet nyuma ya viongozi

Buyaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
1,705
Reaction score
1,953
Alikuwa hajui masikini ya Mungu kwamba red carpet ni kwa viongozi tu.....

Angalia kuanzia hapo nilipotega....



Mjeshi wa Samia, kaitwa pembeni na kachero la kikorea

Huu utaratibu wa rais wetu kufuatwa na mwanajeshi kila hatua kila Rais anaekuja anaiga.... Monkey See, Monkey Do....

Mjeshi anamfata nyuma utadhani wamebeba ki button cha kulipua nuclear bomb kama Putin na Biden...
 
Mbona kawaida tu, mimi ilishanikuta sehemu
 
alikuwa hajui masikini ya Mungu kwamba red carpet ni kwa viongozi tu.....

angalia kuanzia hapo nilipotega....


View: https://youtu.be/rxD0Z9Z6sdw?t=486

mjeshi wa Samia, kaitwa pembeni na kachero la kikorea

huu utaratibu wa rais wetu kufuatwa na mwanajeshi kila hatua kila Rais anaekuja anaiga.... Monkey See, Monkey Do....

mjeshi anamfata nyuma utadhani wamebeba ki button cha kulipua nuclear bomb kama Putin na Biden...

Convoy ya Tanzania imekaa kishamba sana. Nilicheka san ile picha ya wakorea 4 waliokuwa wakizungumza na kundi la watanzania 50 huku baadhi ya watanzania wakichat. Yaani ni aibu kubwa sana. Hatuko serious na maendeleo ya watu.
 
Back
Top Bottom