MwanaJF aliyekuvutia kwa michango yake 2015

A



Amesema "Nifar" na sio "Nifah" au hujaona?!
Hahahahahaaa
Wewe kimekuchoma nini popoma mjuzi wa kila kitu ulimwenguni?
Unanionea wiiivu mwana wa watu mie,na bado....
Ndio kwaaaanza mwaka umeanza.
 
Hahahahahaaa
Wewe kimekuchoma nini popoma mjuzi wa kila kitu ulimwenguni?
Unanionea wiiivu mwana wa watu mie,na bado....
Ndio kwaaaanza mwaka umeanza.

kukufahamisha imekua kosa we Kiazi? Eti wivu? wivu wa nini sasa? Wa jamii forum? Una akili ya jiwe Wewe Kilaza
 
Nipende kuwa muwazi binafsi nilivutiwa na mada za mshana jr na nifar.
2015
Naona una matatizo kidogo, hukuona michango niloyotoa mpaka nkashauri interface imebadilishwa? Acha wivu wa kikwere
 
Chief mkwawa yupo fit sana kwenye kuelimisha ishu za science na IT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…