MwanaJF aliyekuvutia kwa michango yake 2015

MwanaJF aliyekuvutia kwa michango yake 2015

A

Amesema "Nifar" na sio "Nifah" au hujaona?!
Hahahahahaaa
Wewe kimekuchoma nini popoma mjuzi wa kila kitu ulimwenguni?
Unanionea wiiivu mwana wa watu mie,na bado....
Ndio kwaaaanza mwaka umeanza.
 
Hahahahahaaa
Wewe kimekuchoma nini popoma mjuzi wa kila kitu ulimwenguni?
Unanionea wiiivu mwana wa watu mie,na bado....
Ndio kwaaaanza mwaka umeanza.

kukufahamisha imekua kosa we Kiazi? Eti wivu? wivu wa nini sasa? Wa jamii forum? Una akili ya jiwe Wewe Kilaza
 
Chief mkwawa yupo fit sana kwenye kuelimisha ishu za science na IT
 
Back
Top Bottom