MwanaJF aliyekuvutia kwa michango yake 2015

MwanaJF aliyekuvutia kwa michango yake 2015

swagazetu

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
4,250
Reaction score
1,470
Nipende kuwa muwazi binafsi nilivutiwa na mada za mshana jr na nifar.
2015
 
kuna huyu mrembo anaitwa atoto.. michango yake mingi inanisisimua mpaka natamani siku moja nimuotee mahala nigegede ..hofu yangu sijui kama amevuka salama
 
Zanzibar spice na consult hawa jamaa walinitia moyo wakati nauanza ujasiriamali, nashukuru sana kwa msaada wao nimefika mahali pazuri
 
Back
Top Bottom