MwanaJF Cacacuona hueleweki.

MwanaJF Cacacuona hueleweki.

calabocatz

Senior Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
110
Reaction score
88
Huyu jamaa najaribu kumsoma simuelewi kabisa..sielew anakubali chama gani,dini yake siielew. Maana kila anavhokiandika kaegemei upende fulani yani ukisoma maandiko yake na coments unaweza amini uko Lumumba ..siku nyingine Ufipa..hebu cacacuona Jipambanue ...uko wapi? Unakera sana.
 
Kwani lazima kila mtu awe na upande? Wengine wameamua kuwa neutral
 
Ninachotaka ajipambanue tuu..aeleweke yuko upande upi?
 
Back
Top Bottom