Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
.....hongera zake...Je ugumu wa maisha wanaousema wanachadema ni upi ikiwa makamanda wanaoa kifahari kabisa??
Unataka akuoeNassari ana mke?
Na Atampa ubunge wa kuteuliwa bi dadaAfadhali sasa atapunguza kushinda mitandaoni,akizembea tu Mwenyekiti atanyakua
Nassari asilazimishe kuvaa ' Miwani ' kwani haimpendezi na aliyemwambia huwa anapendeza amempotosha.
Labda nikiongeza jiko la tano.....
.....usitufananishe na buku saba ukivuta jiko tutakuchangia suti
Wameshonewa na speshoz ingia insta utawaonaDuh imekaa vizuri sana,Suti zimependeza mno,ningemjua Huyo Fundi ningefurahi sana
Kamanda Malisa itabidi awe bize na mkewe akizubaa atasikia mama kateuliwa viti maalumkabombe ahahaha,kada umeua!
Kwahyo Mbowe aweza jishindia jiko jipya,iwapo Malisa akizubaa?
Kama Jesca?Na Atampa ubunge wa kuteuliwa bi dada
Kama wife wake kamwambia anapendeza nadhan inatosha mkuuNassari asilazimishe kuvaa ' Miwani ' kwani haimpendezi na aliyemwambia huwa anapendeza amempotosha.