Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
hongera zake na mungu ambariki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Speshoz. Nenda Instagram search Speshoz suits zinaanzia laki mbili na points mpaka laki nne na 85 kama sijasahau.Duh imekaa vizuri sana,Suti zimependeza mno,ningemjua Huyo Fundi ningefurahi sana
Ukitaka kuona Mwemyekiti ni Mbaya kwenye fani hiyo,muangalie akialikwa kwenye kikao cha ndani cha chama,halafu aone chombo,utaona kila dakika anafuta miwani yake,tunaomjua mwenyekiti hapo tunasema leo lazima ang'oke mtukabombe halafu Mbowe ajishindie vitu maalamu?si ndiyo?
Nani haoWapumbavu nyie. Malisa ndo nani?
Anaye ndio,alifunga harusi amazing bajet 90 MNassari ana mke?
Asingefunga naye ndoa mngesema mengine khaaa waja wa Adam wazito mnoJamaa si tayari kashazaa mkewake ana mtoto huyu.Hivi KKKT nao kama Katoliki kumbe eeh unabariki tu ndoa na sio kufunga ndoa
Ndio maana tanzagiza imekuwa kimya siku za hivi karibuni. Kumbe jamaa alitingwa na mikakati ya harusi. Sasa naanza naelewa.Afadhali sasa atapunguza kushinda mitandaoni,akizembea tu Mwenyekiti atanyakua
Ndio anaye MkeNassari ana mke?
Te he te he te he. Swali hilo hata mimi nimejiuliza. Lakini nikagundua ni vazi la kawaida,yeyote anavaa,lakini pia kwan Sheikh hawez kwenda just kuja tu kujumuika kwa kuwa tuko kwenye jamii moja tumechanganyikana.Huyo "shekhe", wa kwanza kushoto kwenye picha ya katikati, anatafuta nini hapo?
We muache aendelee kulala juu ya laptop kama watu hawajamtwaa huyo dadaNdio maana tanzagiza imekuwa kimya siku za hivi karibuni. Kumbe jamaa alitingwa na mikakati ya harusi. Sasa naanza naelewa.