MwanaJF Malisa GJ amefunga ndoa leo jijini Arusha

Ongera kamanda malisa,karbu kweny chama cha free from chama cha wahuni means makapera
 
Hongera,...mmependeza sana
Mungu awatangulie shetani aone aibu
 
Acha wivu vaa na ww tuone

Mkuu siku za Jumapili huwa sipendi ' Ligi na Majibizano ' hasa kwa kuiheshimu hii siku ILA kwa jinsi unavyojijaza mwenyewe taratibu katika ' frame ' naweza ' kujisahaulisha ' kwa ' makusudi ' kama leo ni Jumapili halafu ' nikakuwasha ' vile vile na tuweze kwenda sawa. Shauri yako!
 
Kama mke kavimba tayari eee [emoji16] [emoji16] [emoji16] (jokes)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…