Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Bado ya kwangu na Miss natafuta![emoji1][emoji1][emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
udini? acha pumbaHuyo "shekhe", wa kwanza kushoto kwenye picha ya katikati, anatafuta nini hapo?
Baba wa bibi harusi.....mavazi ya kiNigeria hayo mkuuHuyo "shekhe", wa kwanza kushoto kwenye picha ya katikati, anatafuta nini hapo?
Mpumbavu mwenyewe sio lazima Kila mtu uwe unamfahamu.... Unadhani hapa tunahakiki vyeti vya form fourWapumbavu nyie. Malisa ndo nani?
mama yako mbona anapaka humwambii?;Huyo mke wake aache mkorogo basi...
Sawa. Atulie Sasa Akuze Familia yake na aache uanaharakati mitandaoni - ni ushauri tu. Take it or leave itNatoa pongezi zangu kubwa kwa Mwana JF Malisa Godlisten kwa kuweza kufunga ndoa siku ya leo Jumamosi katika Kanisa la KKKT Ushirika wa Moshono jijini Arusha Mjini.
Congratulations bro Malisa GJ kwa hatua na maamuzi haya uliyoyachukua leo hii 13.05.2017
Ni hatua moja kubwa sana katika maisha, umeondoka kwenye kundi letu na kutuacha. Muda si mrefu nasi tutafuata nyayo zako kaka kwa uwezo wa MUNGU...[HASHTAG]#HongeraSana[/HASHTAG]!!
View attachment 508807 View attachment 508808 View attachment 508809
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe Godbless Jonathan Lema akiwa na Mke Neema Lema katika uwanja wa Wold Garden jijini Arusha kwenye sherehe ya harusi ya Malisa GJ
View attachment 508838
Katika halfa hiyo pia walikuwepo viongozi mbalimbali wa Chadema wakiongozwa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe Naibu Katibu Mkuu Chadema Salim Mwalimu pamoja na wabunge wengine.
View attachment 509002 View attachment 509003 View attachment 509004 View attachment 509005
View attachment 508807 View attachment 508808 View attachment 508809 View attachment 509002 View attachment 509003 View attachment 509004 View attachment 509005 View attachment 509160 View attachment 509161 View attachment 509162 View attachment 509163 View attachment 509160 View attachment 509165 View attachment 509164 View attachment 509164 View attachment 509164 View attachment 509166 View attachment 509167 View attachment 509168
Unauona upuuzi wako lakini?Utani au ulikua hujui,ushajua sasa!..tembea upate exposure Acha kukaa kolomije maisha yote
Udini uko wapi. Acha kuweweseka kama kuku aliyekatwa kichwa ghafla.udini? acha pumba
Agbada.Baba wa bibi harusi.....mavazi ya kiNigeria hayo mkuu
Tembea upate exposure!..Unauona upuuzi wako lakini?
Vizuri sana kwa kumpongeza mwenzio,wenzako hawasemagi hivi,kwa wivu wao.Hongera dada umempata mume handsome
Ha ha ha. Hata hujui ninaishi wapi. Huo ndio upuuzi na ulimbukeni wako.Tembea upate exposure!..