MwanaJF Malisa GJ amefunga ndoa leo jijini Arusha

Wamependeza sana,sema naona kama vile n mwendo wa maji na juice tuu hakuna hata balimi.
 
just thought for a second...where is ben saanane!!!!!🙁
 
Asitufundishie uongo wake watoto atakaowazaa tu, namuombea awe baba bora.
 
Kwenye Harusi hii ungeonekana umevaa kijani basi lazima ungeishia mlangoni...
 
Hongera sana kwa hili.. Mungu akuongeze vyema kwenye majukumu yako ya ndoa.
 
Huyo "shekhe", wa kwanza kushoto kwenye picha ya katikati, anatafuta nini hapo?
Ahaaaaaa..... Ahaaaaaa..... Yaani nimecheka mwenyewe mpaka nikapaliwa, mkuu hilo swali lako ni tata sana.

BTW , hongera sana Makosa Godlisten
Karibu chamani ufurahie Yale uliyokuwa ukiyatamani.
 
Muone huyu nae, unadhani ndoa inafungwa tu ghafla bin vuu kama kuku aliyekurupuka bandani akikimbia kuchinjwa.? Eti ngoja nami kesho nikafunge...Ahaaaaaa labda kama ni Yale kina "ya mkeka".
Ameni-inspire ile mbaya...kesho nami natarajia kufunga ndoa kwenye kanisa la hapa kijijini kwetu Mbaha, wilayani Nyasa mkoa wa Ruvuma. Karibuni sana na hongera kakangu Malisa GJ.
 
Itamsaidia kupunguza uandishi wa udaku ndani ya gazeti la Mwananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…