MwanaJF mpya, nipokeeni

Karibu sana jukwaani.

Kuna mengi ya kujifunza, kufariji, kuhuzunisha, kustarehesha, kuliwaza, kupumbaza, kufedhehesha, kukinaisha, kufkirisha, kukirihisha, kustaajabisha na hata kuhuisha.

Karibu sana jiskie huru.
 
karibu
zingatia yafuatayo uwapo hapa jf

kanuni ya 1 : usiri
kanuni ya 2 : usiri
kanuni ya 3 : usiri
kanuni ya 4: usimwamini mtu
kanuni ya 5: usiamini kila taarifa
kanuni ya 6: kuwa makini

kanuni ya 7: miliki ID zaidi ya 1

usilolijua:
wanawake original walioko humu ni 13 tu


kabla sijakukaribisha nitakuverify kwanza kujua fyekelo lako la zamani. Asante
 
asante kwa intro nzuri
Karibu sana.

Ni ihsani tu ambayo kama binaadam unastahili, ili kwa namna moja au nyengine ikufariji, ikufanye uzidi kujithamini, ikukumbushe kwamba wazuri na wema bado wapo, wenye huruma na wanaojali wataendelea kuwepo mbali na ukweli kwamba dunia ya sasa maadili yake si kama ya zamani.

Upendo uliopotea ndani ya jamii ni jukumu letu kuurudisha na kwa uchache tunaweza kufanya hivyo kwa kupeana maneno mazuri, kufanyiana Ukarimu japo kwa maneno, kufanyiana ihsan japo hatujuani, kutahdharishana kwa kila tunalolijua linaweza leta madhara (kama nilivyofanya mimi) na pia kupeana tamaa za mambo mazuri mbele yetu.

Karibu Mi-Ann
 

asante kwa kanuni. kwa nini wanawake ni wachache?
 
Akisahau kanuni zote akumbuke namba moja
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT upate kufaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…