Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana.asante kwa intro nzuri
karibu
zingatia yafuatayo uwapo hapa jf
kanuni ya 1 : usiri
kanuni ya 2 : usiri
kanuni ya 3 : usiri
kanuni ya 4: usimwamini mtu
kanuni ya 5: usiamini kila taarifa
kanuni ya 6: kuwa makini
kanuni ya 7: miliki ID zaidi ya 1
usilolijua: wanawake original walioko humu ni 13 tu
kabla sijakukaribisha nitakuverify kwanza kujua fyekelo lako la zamani. Asante
kwanini wewe unatumia id ya kike?asante kwa kanuni. kwa nini wanawake ni wachache?
ukifungua ya kiume ufute hii ya kike haiendani na jinsia yakohehehe nitafungua na ya kiume
Akisahau kanuni zote akumbuke namba mojakaribu
zingatia yafuatayo uwapo hapa jf
kanuni ya 1 : usiri
kanuni ya 2 : usiri
kanuni ya 3 : usiri
kanuni ya 4: usimwamini mtu
kanuni ya 5: usiamini kila taarifa
kanuni ya 6: kuwa makini
kanuni ya 7: miliki ID zaidi ya 1
usilolijua: wanawake original walioko humu ni 13 tu
kabla sijakukaribisha nitakuverify kwanza kujua fyekelo lako la zamani. Asante
Karibu mkuuBaada ya rafiki zangu wengi kuwa wanaongelea sana habari wanazopata JF hasa kwenye mambo ya siasa na kijamii, na mimi nikaona bora nijiunge. natumaini nitakaribishwa kwa mikono miwili.