Mwanajf, Naibu Waziri, Ahudhuria Birthday Wema Sepetu, Mlimani City, Avalia Gauni la Rangi ya Chanikiwiti, Apendeza!, Atokelezea!

Kwani dhambi kama kaalikwa na nafasi anayo kwanini asiende? Pia katokea kwenye kundi la vijana,.
 
Naunga mikono, miguu na kichwa kabisaa!! Bila picha huu uzi hauna mashiko wala maana yoyote
 
Pasikali umekuwa MSUKUMA haswaaaaaa siku za hivi karibuni.
Mtu ambaye anaelezwa kuwa amekuwa Msukuma haswa, it's as if mwanzo hakuwa Msukuma haswa ila, siku za hivi karibu ndio amekuwa Msukuma haswa!. Kwanini zamani nilikuwaje as far as Usukuma is concerned?.
P
 
Mtu ambaye anaelezwa kuwa amekuwa Msukuma haswa, it's as if mwanzo hakuwa Msukuma haswa ila, siku za hivi karibu ndio amekuwa Msukuma haswa!. Kwanini zamani nilikuwaje as far as Usukuma is concerned?.
P
Kamaanisha..
ulikuwa" vile" na sasa hivi umekuwa "hivi"
 
Wema Ana nyota bhana 🤣🤣
No kweli, huyu Binti ana nyota kali, ndiye aliyeelezwa charity ya kupendwa Mondi, hata mimi kiukweli kabisa namzikikia na hata wife anajua, na kabila langu linaruhusu.
P
 
Bila picha uzi wako hauna maana ni kama umbea wa vibarazani

Pascal Mayalla
 
Dogolas paskali hatongozagi vikongwe kama kina siye. Yy zake ni za damu mbichi ya ma mheshimiwa wa chanikiwiti
tina turner is more than 75 but still hot
paskali analijua hili,and good romance comes with experience
subiri pm tu😀
 
Mimi nimecheleweshwa na beki3. Alipoteza kadi yangu yani hapa nawaza sjui kama nitaiyona
Meena kweli mpenzi wa Mungu, na beki3, wanasaidia sana, haswa katika kuokoa majahazi, tatizo ni pale mwenye nyumba ni Mchagga halafu beki3 ni Tanga line!, mtu lazima uchelewe!, hivyo Mimi sikushangai!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…