Ukimsikiliza mwanakijiji wao ndio waliogundua uwepo wake..Mwanakijiji wa kijiji cha Mawa, kata ya Hanga wilayani Namtumbo, amefunguka kuhusu Padre Camillius Nikata wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Songea, aliyepotea tangu Oktoba 9.
Mwanakijiji huyo amesema kuwa alimkuta padri akiwa amedhoofika na kumsaidia kwa kumpa maji kabla ya kumtoa msituni.
Politeka Kujipakulia Minyama kumbe kazi ya raia wema tu.Intelejensia Kubwa Sana
Yale Maelekezo Sasa Kwel Intelejesia Kubwa ImetumikaPoliteka Kujipakulia Minyama kumbe kazi ya raia wema tu.
Kibegi kikaliwa na mchwa..
Na hao mchwa wakaacha karanga
PumbavuMwanakijiji wa kijiji cha Mawa, kata ya Hanga wilayani Namtumbo, amefunguka kuhusu Padre Camillius Nikata wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Songea, aliyepotea tangu Oktoba 9.
Mwanakijiji huyo amesema kuwa alimkuta padri akiwa amedhoofika na kumsaidia kwa kumpa maji kabla ya kumtoa msituni.