Pablo
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 2,441
- 2,545
warumi on her best. Nakuona unarithi cheo cha yule dada wa arusha anaetembeza umbea IG
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
warumi on her best. Nakuona unarithi cheo cha yule dada wa arusha anaetembeza umbea IG
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamemzidi boss uhb.
Na ukute nako kanafokonyolewa huko nyuma utaanguka uzimie[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh anafaa kuwa pambo la ndani... [emoji182][emoji182]
Yaan atajuta sanaHana akili watu huchezea mshahara sio kazi siku diamond ana muacha hata amini na hivi couple yao imepoa no kiki at all
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwiii jamani kabaki kalivyo kasiharibike
na huyo lyn ndio mke wa mengi ama
Hapana. Lyn ni ka slay queen fulan kalikua kanakazwa na mond
Ukiachana na huko kote uliko pita hapo kwenye kusikia kuwala watu wengi na yule dada wa bosi nae amepitiwa????Yule First Lady mpya wa kaka yetu, nae ndoa ishaanza kuota ukungu kisa kikiwa ni mpiga chapi first class hapa nchini mwenye mashauzi kama yote kisa tu siku hiz anatembea na four wheels
Unaambiwa bidada huyo kutoka nchi jiran amekua akionyesha mahaba hadharani kwa kijakazi huyo wa boyfriend wake, inasemekana dada kamzimikia kafa kaoza, kila sehemu anatak kuongozana na mpiga chapi huyo ambaye na yeye mashalah kaumbika Ana sura na mvuto kumzidi boss wake .
Basi unaambiwa usiku wa valentine , bibie huyo mwenye damu ya Kunguru alimpa zawadi ya viatu kijakaz huyo, mbaya zaidi habari zimeshaanza kuenea kwenye palace hiyo ambayo imejaa watoto wenye asili ya kulee wenye tabia zilizoshindikana.
Sasa huyo dada na yeye Kwan hatosheki? Mxieew na kanaonekana tu hakajatulia, na ukahaba wake unataka tu mwenzie kibarua kiote nyasi
Unaambiwa sultana mwenyewe Ila sio hurrem, Yule last say yupo kwenye ushushu wa hali ya juu kuhakikisha hizo tuhuma ni za kweli au wambea tu wanataka kumuaribia mkate mpiga chapi huyo .
Ila wambea kutoka kwenye kasri hyo wamenihakikishia kuwa umbea huo una chembe chembe za ukweli , Kwan dada huyo kila akimuona kijana wa watu basi uishia tu kuangalia chini kwa aibu huku akimrembulia macho, mwanakuyatafuta, mwanakuyapata.
Yan badala ya kukazana umchune huyo zoba unakazana na huyo kinda ambaye hata I phone 6 hawez kukununulia mxieew .
Ila nasikia nae huyo mpiga nanii kawala wengi jaman , Yule mke wa yoo, mzazi mwenzie na tunaendana mi na wewe, lyn, yan list ndefu mpaka wengine warumi Mimi nimegoma kuamini mpaka sasa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ebu numbi nifungulie hii codeWaaaow salama jirani. Shukran kwa muito huu
Tanasha ndio anakulwa na lukamba
Ule mjurubeng wa kila mtu?Safari wamepatikana shuain zao unaambiwa hako kadada kibarua kinakaribia kuota nyasi huko nchi jirani kisa kamenogewa na mambo ya TZ