Mwanakuyatafuta, mwanakuyapata

warumi on her best. Nakuona unarithi cheo cha yule dada wa arusha anaetembeza umbea IG

Sent using Jamii Forums mobile app

Binamu Mimi nilikuwepo Toka enzi hizo , nilijipa likizo na kuwapa nafasi wambea chipukizi Ila nikaona hakuna wa kunifikia ngoja ni Rudi kwenye kiti changu 🤣


Pisheni njiaaa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Write your reply...hapa nimeelewa. Kumbe jamaa yetu bwege mmoja tuu?
 
SASA HAPA JUKWAA LIMEFIKA MAHALA PAKE!
BINAMU HAPPY BIRTHDAY TU UUUUU!
nikuletee keki ya nutela au ya karanga?
AH kudaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaadeck!
HIII INAITWA MBWA KALA NGADA!

Aaaaaaah uwiii


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ukiachana na huko kote uliko pita hapo kwenye kusikia kuwala watu wengi na yule dada wa bosi nae amepitiwa????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…