Mwanakuyatafuta, mwanakuyapata

Hahahahaha Lukamba na Tanasha watamuua kwa pressure D
 
SASA HAPA JUKWAA LIMEFIKA MAHALA PAKE!
BINAMU HAPPY BIRTHDAY TU UUUUU!
nikuletee keki ya nutela au ya karanga?
AH kudaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaadeck!
HIII INAITWA MBWA KALA NGADA!
Mwl Shikamoo naona warumi kakurudisha nilikumiss........ tumfukuze kazi mpiga picha
 
Hapa naona Lukamba, Diamond Platnumz, Lynn, Mke wa yooo (King AK) nk.
 
Tulihabarishwa ndoa ni 14 feb naona imepita kimyaaa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…