Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,790
- 2,232
Hta mgambo hujawahi pitia una ongea na kma umekula mapera unajua jeshi ww au unajua morale ww? Ya jeshi kmaaa kimya kima wwSijui wananchi wa Russia wanaishije sasa kiuchumi. Ni dhahiri Ukrain ipo hovyo ila kwa Russia sina uhakika.
Hii ya leo inaondoa morale ya kupambana kwa askari pamoja na raia pia.
Sent using Jamii Forums mobile app