Mwanamageuzi mkongwe wa Urusi Chubais ajiuzulu kama balozi wa Putin

Sijui wananchi wa Russia wanaishije sasa kiuchumi. Ni dhahiri Ukrain ipo hovyo ila kwa Russia sina uhakika.

Hii ya leo inaondoa morale ya kupambana kwa askari pamoja na raia pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hta mgambo hujawahi pitia una ongea na kma umekula mapera unajua jeshi ww au unajua morale ww? Ya jeshi kmaaa kimya kima ww
 
Raisi putin ndie baba wa madikteta duniani kwa sasa hata wa china hamfikii hata robo ndo wanafatia madikteta watoto kama kagame ,museveni
[emoji1][emoji1] baba wa demokrasia hao [emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…