Jana nilikuwa na shost akanionyesha habari inato twmbea mitandaoni.
Ni mwanamama anaeitwa Pili, alitafuta kazi Mirerani Arusha na alifahamishwa kuwa wao hutoa ajira kwa wanaume tu. Aliamua kuanza kuvaa kiume na kujipa jina la kiume, alifanikiwa kupata ajira.
Wafanya kazi wenzako wote walikuwa wanaume, alikunywa nao pombe na kutaniana nao pasi wao kufahamu jinsi a yake kwa miaka mingi.
Ilitokea tukio la ubakaji, mmbakaji alimsinguzia Pili kuwa ndiye aliyefanya tukio lile. Pili alichukuliwa na polisi na kufika kuthibitisha ilibidi ajieleze kuepuka kuwekewa mahabusu ya wanaume.
Kuna mliyoisikia habari hii?